Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Ooh, hivi hata braa zinaweza kuchangia??.
zinachangia sanaaa,
chuchu zako zinauma na kuvimba au zinauma tu ukizibinya?,
pia kama huja duu siku nyingi nalo laweza kua tatizo, mpe shem hata romance tu halafu usikilizie,
lol.
 
Ndiyo yaume Siku zote!??? Yani kuna mda yanawashaa kweliiii
Ngoja nikutoe hofu mamii hata mimi kuna wakati huwa nawashwa chuchu kweli kweli. Nina kibrashi kidogo dogo huwa nakitumia[emoji3] Nikaja kujifunza kuwa labda ni eczema.
Huwa sichukulii serious sana maana hakuna vipele wala infection yoyote inayokuwepo
 
Eczema ni nini mi mbn sijui?!!![emoji124]
 
Moja ya sababu za kuwasha kwa chuchu ni kuongezeka ukubwa, pengine umeanza kunenepa au unatumia uzazi wa mpango. Ngozi inapoongezeka lazima iwashe.
 
Moja ya sababu za kuwasha kwa chuchu ni kuongezeka ukubwa, pengine umeanza kunenepa au unatumia uzazi wa mpango. Ngozi inapoongezeka lazima iwashe.
Hapana sijawahi kutumia uzazi wa mpango
 
zinachangia sanaaa,
chuchu zako zinauma na kuvimba au zinauma tu ukizibinya?,
pia kama huja duu siku nyingi nalo laweza kua tatizo, mpe shem hata romance tu halafu usikilizie,
lol.
Akuuu Hamna mapenzi nayo yachukia km mwanaume kunishika maziwaaa. Yani sipendiii sijui naona je.....
 
Anti uling'atwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…