Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Zinahitaji kunyonywa hizo
 
Hapana hayana vipele wala hayajavimba, ila yanawasha sana alafu ukivishika vichuchu vyenyewe vinauma mnooo
Poleeee sana...

Kama hauna Mimba wala hauko Mp nenda hospitalini mapema...

Wakati mwingine tunakosea kuchukulia pouwa matatizo madogo madogo kama hayo..

Nenda hospitali mapema.
 
mkuu tatizo bado linaendelea? kuna dawa nimeigundua
 
Reactions: SDG
Pole
 
Poleeee sana...

Kama hauna Mimba wala hauko Mp nenda hospitalini mapema...

Wakati mwingine tunakosea kuchukulia pouwa matatizo madogo madogo kama hayo..

Nenda hospitali mapema.
Oky
 
Kapime ujauzito,
Kama upo Dar, mwezi huu kuna kaubaridi... Chuchu zinasimama na kuuma kwenye baridi kama hujazoea hiyo hali ya hewa.
La sivyo nenda hospitali dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…