Habari za Eid wapendwa,
Naombeni ushauri kwa anayejua, ni nini kinasababisha chuchu kuuma, mwenzenu chuchu zinauma mno na kuwasha, kipindi cha nyuma zilikuwa zikiuma labda nikiwa MP lakini sasa hivi zinauma tu bila sababu, kwa wanawake wenzangu huwa mnakumbana na hii hali?
Naombeni msaada tafadhali;
cc: espy
Paprika
emmyta
Sakayo
Valentina
miss chaga
Miss Natafuta
Nifah
............
............
...........
Nawengine wotee ila kama wewe ni ke
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] unauza dawa!???? Yaani mkuyenge wako unakuja kuweka kwenye papuchi yangu, bado unataka na chura ya maana na hela nikupe!??? Hupati raha na wewe!?? Tena umepata chura ya mwendo kasiHela ya nini tena???[emoji32][emoji32][emoji32].......Wewe ndo unatakiwa kunipa hela mimi kwa sababu mimi ndo nauza dawa!
AsanteNimeshaenda mpedwaaa
Hapana usiweke lako wengine hiko kiungo tunaki admire sanaSikuitendea haki??? Sasa ngoja nipige nitume langu kbs
Ni mesema ke tu, wewe ni ke sikuhizi
Ni kweli? Mbona kuna chuchu?Nimewabagua kwasabab hamna matiti,
Unaogopa nini? Mbona wenzio wanaziacha hadharani tu na hawadhuriki?Haya ila naona aibu kumtolea doctor ziwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Unaweza kumsaidia kumwonesha namna zinavyonyonywa kwa vitendo?Hizo zikinyonywa tu zinatulia
Ukweli ni kwamba chuchu zinauma coz they r not utilizedWala Hamna ukweli wowote ninao ujua