machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Kweli wewe haupo serious hata unavyoandika Sasa tukushauri nini hapo ulicho tuuliza halafu eti uko chuoAsalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
Jinsia yako ni ME au KE ? Km huijui hata jinsia yako basi wewe kweli houpo seriazeAsalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
Acha haraka na maisha piga shuleAsalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
ππππππHalafu kweli,
Itakuwa karudia shule vya kutosha, 26yrs sio wa kuwa first year.Kwani kua serious na maisha ndo kufanyaje [emoji2][emoji2]
Afu kweli ππItakuwa karudia shule vya kutosha, 26yrs sio wa kuwa first year.
Kweli hayuko serious [emoji16]Itakuwa karudia shule vya kutosha, 26yrs sio wa kuwa first year.
π€£π€£π€£ Naona yupo seriously kweli yaan na empty bottleKwanini asikwambie?
π π