Msaada tafadhali juu ya hili jambo

Msaada tafadhali juu ya hili jambo

machafuko jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
565
Reaction score
1,158
Asalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
 
Ni vitu gani vinafanya ujione haupo serious na maisha?

Unaweza kufanya jambo kuondoa mambo hayo na ujione upo serious na maisha?

Nini lengo lako kwasasa kama mwanafunzi?

Tafuta sehemu tulivu kisha tafakari maswali hayo.
 
Asalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
Kweli wewe haupo serious hata unavyoandika Sasa tukushauri nini hapo ulicho tuuliza halafu eti uko chuo
 
Yani kweli wewe hauko serious! Yani wala hukutaja mambo ambayo unadhani unatakiwa kuwa serious ila unajiona hauko hivyo! Sasa unataka ushauriwe juu ya nini?
 
Asalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
Jinsia yako ni ME au KE ? Km huijui hata jinsia yako basi wewe kweli houpo seriaze
 
Asalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
Acha haraka na maisha piga shule
 
Mwanazuoni anatuomba wapwa ushauri hayuko siliasi na maisha 🤣🤣.
Anyway aende akakojoa kwenye geti la JWTZ hapo pana usiliasi ataupata
 
Back
Top Bottom