machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Asalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni