Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

Haijaelezwa ilikuwa vp tabia ya mwanamke nyie watu mwanamke(wengi wao) akikuzidi pesa akyamungu utakuwa mdogo kitu kidogo kama huwezi ishia! Kidogo nyodo...mara vile mara hivi..na mkigombana utasimangwa wewe mpaka utalia kimoyomoyo....yani ni hatari jamani mi siwezi kuishi na stress engine
 
mwanaume anafundishwa kuwa mwanaume from day one anapotoka kwa mama, wakati kizazi cha siku hizi mwanamke anafundishwa kuwa kama mwanaume ili aweze ku survive mfumo dume ... na kama binti anajiamini its obvious ni ngumu sana ku-bend over kuachia ego ya mwanaume iendelee ndani ya nyumba wakati yeye ndiye mwenye kipato kikubwa sana na ndiye anaye run show ya familia nzima, kuanzia bills, ada za watoto, magari, nyumba, na mendeleo yote ... hapa panakalika kweli?? na mara nyingi wanawake wa aina hii huwa wana kiburi, wajuaji sana, majivuno, kujiamini kupita kiasi, wasiojali, etc ... tabia hizo ni sumu kubwa kwa wanaume wengi (kimalezi) ... mume katika mazingira haya, ni lazima tu awe mpole, au gumegume tu! inawezekana huyo jamaa aliona huyo dada ana dalili hizo ndio maana akalianzisha mazima, sababu wanaume wengi wanapenda amani katika nyumba zao na hawapendi wanawake wenye magubu!

on the other side of it, mwanamke mwenye kipato kikubwa akiwa ni mwelewa, mwenye malezi mazuri, na mwenye staha kwa mumewe, hata awe billionea bado hutoona mumewe anakuwa inferior au na wasiwasi na kipato cha mumewe hata siku moja. na mara nyingi wamama hawa huwaachia waume zao wakimbize shoo za familia kiasi kwamba mtu baki wa nje ni ngumu sana kutambua kama mama ndio mwenye kipato kikubwa kuliko baba, mifano hai ipo, na maisha yao ni mazuri tu. wanawake wa namna hii ni lulu kwa wanaume, huwa hawatumii nguvu kupata wenzi wa kuwaoa kabisa, tofauti na aina nyingine tajwa hapo juu!
Nimekuelewa na hayo yapo mengi yanatokea,
Ila kwa ishu hii huyu dada hakuwahi kuonyesha tabia yoyote kati ya hizo ulizotaja,kiasi kwamba hata jamaa alishindwa kuamin alichokiona alipofika kwa huyo binti na ili kuthibitisha akataka kujua ana kipato gani,
Na ndo maana kabla ya jamaa kujua walikuwa wanapenda vizuri tu na binti alimheshimu jamaa kwa kiwango kikubwa,
Iweje yy kujua kipato tu,bila kuonyeshwa dharau au tabia yoyote ya kumshushia hadhi anaamua kukimbia?
 
Haijaelezwa ilikuwa vp tabia ya mwanamke nyie watu mwanamke(wengi wao) akikuzidi pesa akyamungu utakuwa mdogo kitu kidogo kama huwezi ishia! Kidogo nyodo...mara vile mara hivi..na mkigombana utasimangwa wewe mpaka utalia kimoyomoyo....yani ni hatari jamani mi siwezi kuishi na stress engine

kuna kaukweli fulani kananukia
 
kweli kabisa, mwanaume kujiamini.. sasa ina maana wenye pesa wanaolewa na pesa ama?
kuweni mnajiamini mnaweza hata kuwa vidume na mkaongoza familia hata wanawake zenu
wakiwa na pesa kama serikali, mwanamke hata aweje at the end of the day miguu lazima
ipepee lol....tena anakuwa mpooooleeeee
Hivi huku kujiamini huwa kunakuja vipi?? Labda tuanzie hapo kwanza.
 
Nimekuelewa na hayo yapo mengi yanatokea,
Ila kwa ishu hii huyu dada hakuwahi kuonyesha tabia yoyote kati ya hizo ulizotaja,kiasi kwamba hata jamaa alishindwa kuamin alichokiona alipofika kwa huyo binti na ili kuthibitisha akataka kujua ana kipato gani,
Na ndo maana kabla ya jamaa kujua walikuwa wanapenda vizuri tu na binti alimheshimu jamaa kwa kiwango kikubwa,
Iweje yy kujua kipato tu,bila kuonyeshwa dharau au tabia yoyote ya kumshushia hadhi anaamua kukimbia?

peer pressure ndo jibu hapo...aliogopa jamii itamwona kaolewa na ujue hili nalo tatizo? Yani kama mwanamke ana tabia njema pesa zake sio issue kwangu hzo ni zake...nilijua alishaanza kumsimanga
 
Haijaelezwa ilikuwa vp tabia ya mwanamke nyie watu mwanamke(wengi wao) akikuzidi pesa akyamungu utakuwa mdogo kitu kidogo kama huwezi ishia! Kidogo nyodo...mara vile mara hivi..na mkigombana utasimangwa wewe mpaka utalia kimoyomoyo....yani ni hatari jamani mi siwezi kuishi na stress engine

Though not an absolute but there is a lot of truth in what you say.
 
kukimbia demu sababu anazo huyo jamaa atakua mtoto wa watu,mwanaume unakoleza gemu mpaka unapewa mamlaka ya uprezidaa wa nyumba until futher notice
 
Tatizo la hawa dada zetu mnapoanza atakupenda kweli hata kama amekuzidi ila baada ya kuzoea ndoa na kuanza kuwasikiliza mashoga zake wanaotolewa out na waume zao basi anaanza kukuona mzigo. Ladies hasa wa kizazi hiki hawana upendo wa kudumu kama wake zetu tuliooa miaka 10 iliyopita. Huna hela basi anakudharau na huyu bwana kaonyesha uanaume kwani usidanganyike mwanamke anakupenda zaidi ukiwa uko vema ila kipato kikipungua tu madharau huanza je akikuzidi kipato si ndo hatari?
Mkuu you said it right. Wenye uzoefu wanajua kuwa kuna zile ups za kwenye sasa piga picha mtoto wa kike analeta kila kitu ndani halafu mko kwenye mgogoro, utakuwa kwenye nafasi gani??!! Japokuwa ni kweli inawezekana wapo wasichana wanaoweza kupenda na kuheshimu hata kama wamekuzidi pesa lakini kulingana malezi yetu kuamua kuwa binti wa dizaini hiyo ni kucheza na probability ndogo sana ya ku-enjoy uhusiano which is not worthy it considering the fact that kuna mizigo kibao ideal huko kitaa.
 
lack of confidence! Hela si zinatafutwa tu. Kwanini unamkimbia unayempenda sababu ya hela unless huna kichwa, mikono wala miguu ntaelewa. Vinginevyo ni kuchakarika tu
 
Mbu MWANAUME hawezi ogopa hata iweje,jukumu la MWANAUME ni kumuongoza mwanamke hata kama ana hela kama Oprah!
Sasa mkuu Eiyer si hadi huyo mwanamke awe anaongozeka?? Au unadhani mwanamke ni mashine unayoweza kui-tune kwa namna unavyopenda??!!! kwanza una uzoefu na hii hali au unaongelea theories??
 
mmh C hapo inawezekana jamaa alitafuta sababu baada ya kupata pato
Inawezekana maana wala hakuna ugomvi wala tatizo lingine alivyoona anapoishi binti na kujua kipato chake akakimbia!
 
peer pressure ndo jibu hapo...aliogopa jamii itamwona kaolewa na ujue hili nalo tatizo? Yani kama mwanamke ana tabia njema pesa zake sio issue kwangu hzo ni zake...nilijua alishaanza kumsimanga
Wala hakukuwa na tatizo na wala alikuwa hajui binti ana kipato gani,
Huyu alikosa kujiamini tu,kwan ktk mapenz unapenda kwa ajili ya jamii au kwa ajili yako mwenyewe?
Hapa naona km uanjitahidi kumtetea jamaa lol!
 
Story ya upande wa pili nitaipataje wakati jamaa hapoke simu!
Kuhusu ni asilimia ngapi,kulingana na namna watu walivyochamnia nahisi hili ni tatizo kwa asilimia kubwa ya wanaume wanaogopa kuoa mwanamke aliyemzidi kipato,
Na kuna wale wachache waelewa ambao huyacha mapenzi yajiendeshe yenyewe bila kujali mambo ya vipato,
Ambapo ktk hili inategemea na upendo uliopo kati yao.
Correction, hawapendi.
 
Back
Top Bottom