Hahahahaha CRAP!Habari yake Asprin...
Vipi ile projekti imeanza? (Magunzi)
Kaka mdogo ulikuwa wapi siku zote? Mpaka wenzio tushabadili dini LOLKaka mkubwa nina imani kuna mtu ashakuibia password........This is definitely NOT you.
We bado hujaolewa tu ?? Hebu twende kule PM, maana mi nakuzimikia sana halafu nimekumiss ile mbaya.......Mzima lakini??kwa mtaji uo wengi hatutaolewa, au hakuna kumwonyesha mshahara tu..mpaka kieleweke
heheheh thats what I thought..........Hizo ni hisia tu ndugu yangu,wangapi wameoa kbs na ndoa zao zina aman?
Sema km unataka kumenteini mfumo dume hapo ni sawa,
Ila km unajiamin na kupenda kweli wala haitakusumbua!
Nimekuelewa na hayo yapo mengi yanatokea,mwanaume anafundishwa kuwa mwanaume from day one anapotoka kwa mama, wakati kizazi cha siku hizi mwanamke anafundishwa kuwa kama mwanaume ili aweze ku survive mfumo dume ... na kama binti anajiamini its obvious ni ngumu sana ku-bend over kuachia ego ya mwanaume iendelee ndani ya nyumba wakati yeye ndiye mwenye kipato kikubwa sana na ndiye anaye run show ya familia nzima, kuanzia bills, ada za watoto, magari, nyumba, na mendeleo yote ... hapa panakalika kweli?? na mara nyingi wanawake wa aina hii huwa wana kiburi, wajuaji sana, majivuno, kujiamini kupita kiasi, wasiojali, etc ... tabia hizo ni sumu kubwa kwa wanaume wengi (kimalezi) ... mume katika mazingira haya, ni lazima tu awe mpole, au gumegume tu! inawezekana huyo jamaa aliona huyo dada ana dalili hizo ndio maana akalianzisha mazima, sababu wanaume wengi wanapenda amani katika nyumba zao na hawapendi wanawake wenye magubu!
on the other side of it, mwanamke mwenye kipato kikubwa akiwa ni mwelewa, mwenye malezi mazuri, na mwenye staha kwa mumewe, hata awe billionea bado hutoona mumewe anakuwa inferior au na wasiwasi na kipato cha mumewe hata siku moja. na mara nyingi wamama hawa huwaachia waume zao wakimbize shoo za familia kiasi kwamba mtu baki wa nje ni ngumu sana kutambua kama mama ndio mwenye kipato kikubwa kuliko baba, mifano hai ipo, na maisha yao ni mazuri tu. wanawake wa namna hii ni lulu kwa wanaume, huwa hawatumii nguvu kupata wenzi wa kuwaoa kabisa, tofauti na aina nyingine tajwa hapo juu!
Haijaelezwa ilikuwa vp tabia ya mwanamke nyie watu mwanamke(wengi wao) akikuzidi pesa akyamungu utakuwa mdogo kitu kidogo kama huwezi ishia! Kidogo nyodo...mara vile mara hivi..na mkigombana utasimangwa wewe mpaka utalia kimoyomoyo....yani ni hatari jamani mi siwezi kuishi na stress engine
Hivi huku kujiamini huwa kunakuja vipi?? Labda tuanzie hapo kwanza.kweli kabisa, mwanaume kujiamini.. sasa ina maana wenye pesa wanaolewa na pesa ama?
kuweni mnajiamini mnaweza hata kuwa vidume na mkaongoza familia hata wanawake zenu
wakiwa na pesa kama serikali, mwanamke hata aweje at the end of the day miguu lazima
ipepee lol....tena anakuwa mpooooleeeee
Nimekuelewa na hayo yapo mengi yanatokea,
Ila kwa ishu hii huyu dada hakuwahi kuonyesha tabia yoyote kati ya hizo ulizotaja,kiasi kwamba hata jamaa alishindwa kuamin alichokiona alipofika kwa huyo binti na ili kuthibitisha akataka kujua ana kipato gani,
Na ndo maana kabla ya jamaa kujua walikuwa wanapenda vizuri tu na binti alimheshimu jamaa kwa kiwango kikubwa,
Iweje yy kujua kipato tu,bila kuonyeshwa dharau au tabia yoyote ya kumshushia hadhi anaamua kukimbia?
Haijaelezwa ilikuwa vp tabia ya mwanamke nyie watu mwanamke(wengi wao) akikuzidi pesa akyamungu utakuwa mdogo kitu kidogo kama huwezi ishia! Kidogo nyodo...mara vile mara hivi..na mkigombana utasimangwa wewe mpaka utalia kimoyomoyo....yani ni hatari jamani mi siwezi kuishi na stress engine
kuna kaukweli fulani kananukia
Mkuu you said it right. Wenye uzoefu wanajua kuwa kuna zile ups za kwenye sasa piga picha mtoto wa kike analeta kila kitu ndani halafu mko kwenye mgogoro, utakuwa kwenye nafasi gani??!! Japokuwa ni kweli inawezekana wapo wasichana wanaoweza kupenda na kuheshimu hata kama wamekuzidi pesa lakini kulingana malezi yetu kuamua kuwa binti wa dizaini hiyo ni kucheza na probability ndogo sana ya ku-enjoy uhusiano which is not worthy it considering the fact that kuna mizigo kibao ideal huko kitaa.Tatizo la hawa dada zetu mnapoanza atakupenda kweli hata kama amekuzidi ila baada ya kuzoea ndoa na kuanza kuwasikiliza mashoga zake wanaotolewa out na waume zao basi anaanza kukuona mzigo. Ladies hasa wa kizazi hiki hawana upendo wa kudumu kama wake zetu tuliooa miaka 10 iliyopita. Huna hela basi anakudharau na huyu bwana kaonyesha uanaume kwani usidanganyike mwanamke anakupenda zaidi ukiwa uko vema ila kipato kikipungua tu madharau huanza je akikuzidi kipato si ndo hatari?
Asante kwa kuelewa japo wengi wanabisha tu!heheheh thats what I thought..........
Sasa mkuu Eiyer si hadi huyo mwanamke awe anaongozeka?? Au unadhani mwanamke ni mashine unayoweza kui-tune kwa namna unavyopenda??!!! kwanza una uzoefu na hii hali au unaongelea theories??Mbu MWANAUME hawezi ogopa hata iweje,jukumu la MWANAUME ni kumuongoza mwanamke hata kama ana hela kama Oprah!
nazungumza na experience
Inawezekana maana wala hakuna ugomvi wala tatizo lingine alivyoona anapoishi binti na kujua kipato chake akakimbia!mmh C hapo inawezekana jamaa alitafuta sababu baada ya kupata pato
Wala hakukuwa na tatizo na wala alikuwa hajui binti ana kipato gani,peer pressure ndo jibu hapo...aliogopa jamii itamwona kaolewa na ujue hili nalo tatizo? Yani kama mwanamke ana tabia njema pesa zake sio issue kwangu hzo ni zake...nilijua alishaanza kumsimanga
Correction, hawapendi.Story ya upande wa pili nitaipataje wakati jamaa hapoke simu!
Kuhusu ni asilimia ngapi,kulingana na namna watu walivyochamnia nahisi hili ni tatizo kwa asilimia kubwa ya wanaume wanaogopa kuoa mwanamke aliyemzidi kipato,
Na kuna wale wachache waelewa ambao huyacha mapenzi yajiendeshe yenyewe bila kujali mambo ya vipato,
Ambapo ktk hili inategemea na upendo uliopo kati yao.