Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

ukiona mwanamke anapesa kuliko mwanamme na ana mnyanyasa mme wake tafuta mchawi ni nani lakini kama mwanaume atasimamia jukumu lake la uanaume katika familia, kumuheshimu mke wake na watoto mwanamke hata akiwa na hela kama Bill Gate atamuhemishu. lakini kama ulikuwa unamnyanyasa na kumtupia vijimaneno nyumbani huonekani ukirudi usiku ni matusi, hamkai pamoja kudiscuss family matters am telling u, huyo mwanamke akiwa na pesa atakunyanyasa mpk uone rangi zote. otherwise nimeona nyumba nyingi tu ikiwemo ya wazazi wangu mama ana kipato kuliko baba lakini heshima iko mbele kwa kuwa mwanamme ana play part yake. sio mtoto anakuomba hela ya nguo unamjibu nenda kwa mama yaani hapo hata mtoto atakudharau. lakini kama unamawasiliano vizuri na mkeo na huna kipato hata mtoto akiomba hela utamwambia subiri tudiscuss mama yako then tutakupa. hayo ni mawazo yangu

kuna ka ukweli ndani yake
 
Mie nimemwambia aachane naye huyo jamaa ana tabia za kitoto,
Ila ndio hivyo hataki ushauri wa kuachana anataka ashuriwe namna ya kurudiana naye!

siku zote mwomba ushauri huwa ana maamuzi yake tayari then any negative advice anaona unamzingua na ukimsaport analowaza atasema "umeona eeh" hata mie nawaza hivyo hivyo
 
Hii kweli bhanna! Mi katika umachinga wangu wa hizi kazi za siku mojamoja nimeshakutana na mabosi wengi wa kike, na wengi wao wameshawamwaga waume zao, tena kwa talaka za mahakamani. Na nilipochunguza waliomwagwa wote ilitokea baada ya mke kulamba bingo la mkwanja. Mmoja kamtema mtu majuzi basi kuna mshkaji wangu tena dogo sana hata diploma hana anajilia mzigo kiulainiii, pesa ya mamaa inaongea. Acheni bhanna hizi mambo mbaya ati! Demu akiwa na mkwanja zaidi yako anataka akutawale akutumie kama dildo, na kwa kuwa madogo wapenda mitungi misosi na pamba hawaoni noma kutawaliwa na demu alimradi hana mpango naye poa, lakini mume yatamshinda!
 
ningekuwa namfahamu huyo jamaa ningelimsaidia kimawazo sana ila basi tu ..canty msaidie mwenzio arudiane na mtu wake...

Mpaka hapo huyu jamaa ameshaonesha mapnz yameisha mpaka hapokei cm,tena kwa maamuzi ya gafla bila hata hasabu nitaanzia wapi!km km akili yake itakaa sawa akaamua kupokea cm tutajua pa kuanzia!
 
Hii kweli bhanna! Mi katika umachinga wangu wa hizi kazi za siku mojamoja nimeshakutana na mabosi wengi wa kike, na wengi wao wameshawamwaga waume zao, tena kwa talaka za mahakamani. Na nilipochunguza waliomwagwa wote ilitokea baada ya mke kulamba bingo la mkwanja. Mmoja kamtema mtu majuzi basi kuna mshkaji wangu tena dogo sana hata diploma hana anajilia mzigo kiulainiii, pesa ya mamaa inaongea. Acheni bhanna hizi mambo mbaya ati! Demu akiwa na mkwanja zaidi yako anataka akutawale akutumie kama dildo, na kwa kuwa madogo wapenda mitungi misosi na pamba hawaoni noma kutawaliwa na demu alimradi hana mpango naye poa, lakini mume yatamshinda!

ndo maana mashost wengi haijaichangamkia sredi kwani ukibisha sana utaonekana unabishia fact
 
Sio mjinga ni miner, mwelewe tu

kama huyo jamaa amekimbia kisa uwezo wa mali wa huyo binti basi ni mjinga sana...ila kama ameota tatizo lingine kwa binti mwenyewe personaly nje ya mali zake hapo naweza kuelewa....
 
Hapo unadili na mwanaume wa mwanamke mwenzio sio?

Namaanisha huyu jamaa ana tabia za kivulana,ingekua hii imenitokea mie wala nisingehangaika nae ningempotezea na kusajili mwenye cfa za mwanaume!so sio mie!
 
kwa hiyo unaamini atafuata ushauri wako??? lakini unaweza kuwa mtu wa kati kumuunganisha kwa alisiye muoga

vipi jeny anaendeleaje???

Dah!kazi ya ukuwadi ndio ciwezi aise,cku wakizinguana wajuane wenyewe!Jeny yuko poa sn,na maisha yanaendelea!
 
My dia kapipi co mie bwana!haa haa haa!ningekwambia tu shost tumfungie safari lol!leo cjakuona kbs,umeadimika sn!
 
Sasa jamaa amechanganywa tu na thamani za nyumba je angekuta binti anamiliki hotel angesemaje? Wanaume hebu badilikeni. Hivi huwa mnadhani elimu na mafanikio mmeandikiwa nyie tu na wanawake hawahusiki? Very disappointing!:lol:
 
Dah!ulikuwa wapi ndugu yangu tangu asubuhi?Asante kwa kutokea nawe unisaidie kuwaambia hawa watu lol!
 
siku zote mwomba ushauri huwa ana maamuzi yake tayari then any negative advice anaona unamzingua na ukimsaport analowaza atasema "umeona eeh" hata mie nawaza hivyo hivyo

Utafikiri ulikuwepo!kilichobaki nampa moyo tu kuepusha kununiana!
 
kutokujiamini kwa aina yoyote iwe kwa mwanamme au mwanamke ni tatizo sana kwenye mahusiano
 
mwanamke nayeishi naye ananizidi kila lakkini sioni tatizo nafikiri ni ushamba tu
 
Back
Top Bottom