Msaada tafadhali; Namtafuta mtu aliyeomba ushauri kuhusu pikipiki

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Habari zenu waungwana,
Kuna biashara nilikuwa nafanya, yakuchukua mahindi hadi tone kumi kutoka mikoani, kuleta DSM. Sasa soko limeyumba kidogo hapa DSM, nikaamua kuanza kununulia hapahapa.

Ishu inakuja pale unapompa mtu mzigo , halafu kuikusanya ile pesa inachukua hadi wiki, ukiangalia faida yenyewe sio ya kuridhisha kabisa .

Kwa mfano unaweza mpelekea mtu tone 4, faida inakuwa kama 80,000 , inakaa siku tatu hadi wiki na zaidi ni hasara kwakweli.

Kuna mdau alileta uzi juzi hapa aliomba ushauri , alikuwa anataka kununua pikipiki aina ya boxer, watu wakamshauri vizuri sana, kuna mdau mmoja akamshauri kama kweli anataka kufanya biashara amtafute PM, faida sikumbuki vizuri kama sio kwa wiki ama kwa mwezi anaingiza laki nane.

Kama kuna mtu anayo hiyo link naiomba aniwekee hapa, ili nimtafute huyo jamaa.

Nawasilisha
 
Ningekuwa wewe nusu ningeweka kwa tickmill na nyingine kwa xm kisha nanyoosha miguu kwa sofa

love thé love or hâte thé love.....
 
Habari zenu waungwana,
Kuna biashara nilikuwa nafanya, yakuchukua mahindi hadi tone kumi kutoka mikoani, kuleta DSM. Sasa soko limeyumba kidogo hapa DSM, nikaamua kuanza kununulia hapahapa.

Ishu inakuja pale unapompa mtu mzigo , halafu kuikusanya ile pesa inachukua hadi wiki, ukiangalia faida yenyewe sio ya kuridhisha kabisa .

Kwa mfano unaweza mpelekea mtu tone 4, faida inakuwa kama 80,000 , inakaa siku tatu hadi wiki na zaidi ni hasara kwakweli.

Kuna mdau alileta uzi juzi hapa aliomba ushauri , alikuwa anataka kununua pikipiki aina ya boxer, watu wakamshauri vizuri sana, kuna mdau mmoja akamshauri kama kweli anataka kufanya biashara amtafute PM, faida sikumbuki vizuri kama sio kwa wiki ama kwa mwezi anaingiza laki nane.

Kama kuna mtu anayo hiyo link naiomba aniwekee hapa, ili nimtafute huyo jamaa.

Nawasilisha
Ukimpata niite braza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks mods kwa kuedite title, naomba mniwekee huo uzi hapa
 
Aliyesema kuhusu ile faida laki nane alikua anazingua tu mkuu. Ni mimi niliyeanzisha ile thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom