Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini mapenzi yana-run dunia. Kila la heri mkuu.UPDATE YA KILICHOJILI BAADA YA USHAURI WENU:::
Siku ukija kukubali hiyo hali utayacheka sana hayo maisha ya nyumaHata Mimi ndivyo nlikua nafikiria kufanya lakini nafsi inakataa kukubali hii Hali sijui kwa nini
Heeee makubwaNimeamini mapenzi yana-run dunia. Kila la heri mkuu.
😅 😅 nilienda kulala kwa dem chanikaaaaaa.Mnatoaga wapi ujasiri wa kuthubutu kuingia sembuse kulala nyumba ya mwanamke?
Ujinga huo mimi sina. Niliwahi kumkataa binti kwa kulazimisha kwenda kwake. Hii mimi kamwe siwezi.😅 😅 nilienda kulala kwa dem chanikaaaaaa.
Alafu nilivyo kuwa mjinga usafiri wangu nikaacha yard, nikatumia usafiri wake mbaka kwake chanika daaah.
Usiku wa manane baada ya kumchachua nikawanajiuliza ivi mimi ninaakili kweli ama ni kichaa, yani hataikitokea lolote siwezi hata kukimbia maana hata usafiri sina alafu sehem yenyewe nimbali kidogo na main road duuh.
Wanaume tukimpenda dem mpya akili yote inakuwa ndani ya sketi yake.
Hilo swali limenifikirisha sana mkuu daah.
Mkuu siku ukikutana na chuma kikali alafu moyo ukigoma kusarenda, utasahau kama JF paliwahi kuwa na mada kama hii, akili zitarudi badae sana ukisha mwaga zege.Ujinga huo mimi sina. Niliwahi kumkataa binti kwa kulazimisha kwenda kwake. Hii mimi kamwe siwezi.
Bahati mbaya huwa nakutana na chuma za hatari
Akijibu nitagSasa wanaoumwa cancer au wale figo zilizo fail waseme nini?
Pole Kaka binadamu tuko tofauti na wengi wako kimaslai zaidi na hawana Hofu ya Mungu pili sio wanawake wote ni wabaya Mimi nakataa.Songa mbele ingawa inauma lkn jaribu usimruhusu shetani ukapoteza mwelekeo.Alichonifanyia huyu mwanamke sijui kwa kweli, na alivyokua ananiambia alichofanyiw na yule X wake sijui kwa kweli yaani nimekubali mwanamke sio mtu wa kuamimi hata siku moja
Wazee nakuja kwenu nikiomba ushauri,
Kama kichwa cha habari kinavyosema japo mimi sio mtaalamu sana wa kuandika nitajitahidi kuandika machache na ya muhimu, mwaka 2018 nikiwa kwenye safari zangu za kibiashara nilikutana na mwanamke mmoja tukiwa tumekaa siti moja kwenye bus tulilokua tunasafiria pamoja!!
Tulipofika kwenye kizuizi sehemu flan gari ikasimamishwa kwa ukaguzi, kumbe yule mwanamke alikua na mzigo wa magamu(magendo) na akatelemshwa hapo beria.
By then tulikua tushapeana namba za simu na nikataka kujua kulikoni ndipo aliponisimulia mkasa wake na akaniomba nifikishe taarifa kwa ndugu ambaye alinipa namba yake na maelekezo yote!!!
Hata nilipomtafuta yule bwana hakua tayari kuonyesha ushirikiano na yule mdada akawa Hana namna ila kuomba msaada wangu Kama naweza kumsaidia, baada ya michakato yote kufanyika ikawa inahitajika laki 5 ambayo alikua amepungukiwa ili amalize tatizo lake.
Mimi nkaamua kumsaidia kiroho Safi na akatoka ndani , mwanzonii mwa 2020 nkapata kesi ya uhujumu uchumi iliyoniweka gerezani mwaka mmoja na miezi Saba, yule dada nlimpa taarifa siku nakamatwa(alishakua rafiki yangu lakini sio kimapenzi) katika mwanzo wa kesi yangu Hadi natoka gerezani nlikua nae bega kwa bega na hakuna siku hata moja alikosa Kuja kunisalimia nkiwa gerezani (NB gerezani wanasalimiwa siku za wikend tu)
Mungu akasaidia kesi ikaisha na nkatoka, yule dada akanikaribisha nyumbani kwake na katika muda huo wote nlikua sijawahi kufika nyumbani kwake!! Nkakuta anaishi mwenyewe na akaniambia Ana miaka 2 hayuko kwenye mahusiano na pale anapoishi Ni nyumbani
kwake hajapanga
Basi nkatumia nafasi Ile kumuomba awe mwenzangu na akakubali !! Tumekaa kwa upendo na furaha nkiwa naenda kwake kila napohitaji hata Kama Ni usiku wa manane namkuta Yuko peke yake!!
Lakini alishaniambia huko nyuma alikua kwenye mahusiano na mtu japo waliachana sababu ya changamoto za maisha ya hapa na pale Basi kidume nkashika usukani
Yule X wake anasema waliishi pamoja miaka 10 lakini hawakua kwenye ndoa , waliishikimada tu, na walikua wameachana miaka imepita 2 Sasa Hadi mm nakutana nae kimapenzi
Siku moja yule X akapiga simu , akamwambia nasikia una mwanaume hapo nyumbani, Sasa Leo nakunywa KVANT nakuja kukufanyia fujo hapo kwako!! Nkamwambia yule mwanamke huyu X wako Kuna kitu anakudai hapa au alikusaidia kujenga hii nyumba?? akaniambia hajawahi hata kuninunulia glass hapa ndani, vitu vyote Ni jasho langu, Basi nkamwambia Kama Ni hivyo hawezi Kuja Ni mikwara tu!!
Ilipofika saa 5 usiku yule bwana akaja, kumbe alimaanisha, akafanya fujo anapiga madirisha na milango ikawa fujo kubwa wakati huo sisi tuko ndani tumefunga mlango
Asubuhi nkamtaka akaripot police akasema hawezi kumuweka ndani maana Kuna mazuri alimfamyia wakiwa pamoja Ila atamuonya asirudie! Jioni yake akanipigia simu akaniambia nimepata ushauri kwa watu wazima wamesema hapa kwangu nisilete mwanaume, kwa hiyo kuanzia leo usije hapa labda Kama Ni kukutana tukutane juu kwa juu!!
Nkasema sawa sitakuja Wala usiwe na Shaka kuhusu Hilo!!! Nkamuuliza au ndo unamrudisha x wako akasema yule siwezi kurudiana nae maana aliyonifanyia Ni makubwa!! Ntakua na wewe tu Ila nyumbani ndio usije maana namuogopa akisikia Tena uko hapa atakuja kunifamyia kitendo kibaya maana namfahamu Ni mkorofi.
Basi mm nkaamua kukaa kimya Ila Mara kwa mara akawa ananichokonoa kwa msg na simu akitaka tuonane, na mm nkajaa maana niwe mkweli nlijikuta nampenda Sana huyu mwanamke!! Juzi nkampigia simu hakupokea na sio kawaida yake , meseji hajibu nkasema huyu labda atakua na mwanaume ndani !
Nkaenda kwake kufika dirishani nkakuta anaongea na Yule x wake kwa simu ananisengenya na kuniongelea vibaya!! Nkamwambia fungua mlango na kweli akafungua tukiwa ndani nkamuhoji Kama anataka kuendelea na mm au anarudi kwa x wake akasema ananitaka Mimi!!
Basi ukatokea ugomvi Kati yangu na yeye na asubuhi akaita watu wazima tukasuluhisha , jioni hii Nimempigia simu kapokea yule x wake Ila kaongea kistaraabu tukamaliza , baadae nlipopiga Tena akapokea mwanamke akasema bwana yangu ameenda kazini ,namsubiria aje tulale Mimi nlikua na wewe sababu ya shida tu!
Nikihesabu garama na muda ambao nimeuwekeza kwake afu Leo anakuja kunilipa jeuri nakosa Raha kabisa hapa najiuliza nimfamye Nini huyu mwanamke?? Na nitoke vipi kwenye hii Hali niliyonayo maana roho Inaumia Sana , nahisi nlikutana nae naweza kufanya tukio baya maana amenifanyia usaliti mkubwa Sana.
Nawasilisha wakuu naombeni ushauri wenu
Chagua mafuta ya taa na kiberiti ama bastola na risasi (itategemea na idadi ya simu ambazo hajapokea. kila missed calls 6 risasi moja) uwanja ni wakoWazee nakuja kwenu nikiomba ushauri,