Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama amemiss life la behind bars (Jela)Achana nae,hata ukimfanya kitu hutopata Faida yyt
Brother muache huyo ni kahaba......kaa tulia endelea na maisha mengine wanawake wa sasa ni changamoto sanaBasi mm nkaamua kukaa kimya Ila Mara kwa mara akawa ananichokonoa kwa msg na simu akitaka tuonane, na mm nkajaa maana niwe mkweli nlijikuta nampenda Sana huyu mwanamke!! Juzi nkampigia simu hakupokea na sio kawaida yake , meseji hajibu nkasema huyu labda atakua na mwanaume ndani ! Nkaenda kwake kufika dirishani nkakuta anaongea na Yule x wake kwa simu ananisengenya na kuniongelea vibaya!! Nkamwambia fungua mlango na kweli akafungua tukiwa ndani nkamuhoji Kama anataka kuendelea na mm au anarudi kwa x wake akasema ananitaka Mimi!! Basi ukatokea ugomvi Kati yangu na yeye na asubuhi akaita watu wazima tukasuluhisha , jioni hii Nimempigia simu kapokea yule x wake Ila kaongea kistaraabu tukamaliza , baadae nlipopiga Tena akapokea mwanamke akasema bwana yangu ameenda kazini ,namsubiria aje tulale Mimi nlikua na wewe sababu ya shida tu!! Nikihesabu garama na muda ambao nimeuwekeza kwake afu Leo anakuja kunilipa jeuri nakosa Raha kabisa hapa najiuliza nimfamye Nini huyu mwanamke?? Na nitoke vipi kwenye hii Hali niliyonayo maana roho Inaumia Sana , nahisi nlikutana nae naweza kufanya tukio baya maana amenifanyia usaliti mkubwa Sana
Nawasilisha wakuu naombeni ushauri wenu
Hata Mimi ndivyo nlikua nafikiria kufanya lakini nafsi inakataa kukubali hii Hali sijui kwa ninipole sana mkuu.. sehemu ya mwisho umeomba umfanye nini huyo mwanamke .. mimi nakujibu huna chakumfanya na pia amekuwa mkweli kwako mapema so ukweli ni huo na chakufanya ni kuukubali na kuendelea na maisha yako kumpigia pigia ama kumlilia hakukusaidii zaidi ya kumpa bichwa .
NARUDIA : FANYA MAMBO YAKO ACHANA NAE achilia hivyo visasi wapo waliofanya mazuri zaidi yako wakaachwa tena kwe fadhaa kubwa zaidi yako . lakini sasa wana maisha mengine .
POLE SANA KIONGOZI
Kusema alikua anatuchekecha naweza kukubali, hayo mengine sio sahii!! Mm Ni ekaa nae muda huo hakuna anachopata kutoka kwa x wake , kikubwa niseme tu ndg zake ndio wameingilia na wakafanikiwa kumuwini1.shida iko kwako...mambo ya mjini na wanawake wa mjini huyajui.....huyo mwanamke ni wa mjini....anawachekecha....
2.ww kwenye mapenzi bado....ila kwasababu unampenda huna pa kwenda....komaa nae
3mpe hela huyo mwanamke x wake anampa hela ndio maana ww huelewi
4.ukikutana nae next time hakikisha unamla rojo.....
Nafsi yako ifanye ikubali hali tu mkuu! Kama mungu kakujalia vichenchi malaya ni wengi mjini kamata mmoja uhonge kidogo uwe unajipigia itakusaidia kumsahau huyo shankupe muuza unga!Hata Mimi ndivyo nlikua nafikiria kufanya lakini nafsi inakataa kukubali hii Hali sijui kwa nini
NakaziaSasa wanaoumwa cancer au wale figo zilizo fail waseme nini?
Ushauri wa kibabe [emoji23][emoji23]1.shida iko kwako...mambo ya mjini na wanawake wa mjini huyajui.....huyo mwanamke ni wa mjini....anawachekecha....
2.ww kwenye mapenzi bado....ila kwasababu unampenda huna pa kwenda....komaa nae
3mpe hela huyo mwanamke x wake anampa hela ndio maana ww huelewi
4.ukikutana nae next time hakikisha unamla rojo.....
Laki tano tu unawaza kufanya kitendo kibaya ? Kuna shida mahaliBasi mm nkaamua kukaa kimya Ila Mara kwa mara akawa ananichokonoa kwa msg na simu akitaka tuonane, na mm nkajaa maana niwe mkweli nlijikuta nampenda Sana huyu mwanamke!! Juzi nkampigia simu hakupokea na sio kawaida yake , meseji hajibu nkasema huyu labda atakua na mwanaume ndani ! Nkaenda kwake kufika dirishani nkakuta anaongea na Yule x wake kwa simu ananisengenya na kuniongelea vibaya!! Nkamwambia fungua mlango na kweli akafungua tukiwa ndani nkamuhoji Kama anataka kuendelea na mm au anarudi kwa x wake akasema ananitaka Mimi!! Basi ukatokea ugomvi Kati yangu na yeye na asubuhi akaita watu wazima tukasuluhisha , jioni hii Nimempigia simu kapokea yule x wake Ila kaongea kistaraabu tukamaliza , baadae nlipopiga Tena akapokea mwanamke akasema bwana yangu ameenda kazini ,namsubiria aje tulale Mimi nlikua na wewe sababu ya shida tu!! Nikihesabu garama na muda ambao nimeuwekeza kwake afu Leo anakuja kunilipa jeuri nakosa Raha kabisa hapa najiuliza nimfamye Nini huyu mwanamke?? Na nitoke vipi kwenye hii Hali niliyonayo maana roho Inaumia Sana , nahisi nlikutana nae naweza kufanya tukio baya maana amenifanyia usaliti mkubwa Sana
Nawasilisha wakuu naombeni ushauri wenu
Watu wengine wameletwa katika maisha yetu , sababu kubwa ni waje kutufundisha jambo .Alichonifanyia huyu mwanamke sijui kwa kweli, na alivyokua ananiambia alichofanyiw na yule X wake sijui kwa kweli yaani nimekubali mwanamke sio mtu wa kuamimi hata siku moja