lovel
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 413
- 1,102
Umezaliwa naeBasi mm nkaamua kukaa kimya Ila Mara kwa mara akawa ananichokonoa kwa msg na simu akitaka tuonane, na mm nkajaa maana niwe mkweli nlijikuta nampenda Sana huyu mwanamke!! Juzi nkampigia simu hakupokea na sio kawaida yake , meseji hajibu nkasema huyu labda atakua na mwanaume ndani ! Nkaenda kwake kufika dirishani nkakuta anaongea na Yule x wake kwa simu ananisengenya na kuniongelea vibaya!! Nkamwambia fungua mlango na kweli akafungua tukiwa ndani nkamuhoji Kama anataka kuendelea na mm au anarudi kwa x wake akasema ananitaka Mimi!! Basi ukatokea ugomvi Kati yangu na yeye na asubuhi akaita watu wazima tukasuluhisha , jioni hii Nimempigia simu kapokea yule x wake Ila kaongea kistaraabu tukamaliza , baadae nlipopiga Tena akapokea mwanamke akasema bwana yangu ameenda kazini ,namsubiria aje tulale Mimi nlikua na wewe sababu ya shida tu!! Nikihesabu garama na muda ambao nimeuwekeza kwake afu Leo anakuja kunilipa jeuri nakosa Raha kabisa hapa najiuliza nimfamye Nini huyu mwanamke?? Na nitoke vipi kwenye hii Hali niliyonayo maana roho Inaumia Sana , nahisi nlikutana nae naweza kufanya tukio baya maana amenifanyia usaliti mkubwa Sana
Nawasilisha wakuu naombeni ushauri wenu
1[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]???.umemuoa??..kakuzalia??..amekuzaa??.hayo yote hajafanya ya nini kumng'ang'ania..hesabia umetoa sadaka....ushapoteza vingap....wanakufa watu tunasonga ndo sembuse huyo mwanamke...acha ufala...
Km vipi nenda kamuue..ukakae jela maisha kwa kuendekeza akili za chini
Amka fanya kazi ..tafuta hela mwanaume acha kulia lia....
Utasahau km ulivyosahau mengine