Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

Mzee huyu mwanamke sio Chaguo lako, Sema na Moyo wako tu kwamba Huyu si Chaguo langu halafu move on basi, Usifuge chuki kwa mtu ambaye umekutana nae Ukubwana Maana sio lazima uishi nae, Kuwa makini usije kurudi jela ukaozea huko ukabaki kujilaumu

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Pole zako hamna haja ya kumfanyia chochote kibaya ameamua kurudiana na mtu wake achana naye maisha yaendelee.
 
Pole sana, mambo yake muachie mwenyewe...

Ushatenda wema wako, jiendee zako...
 
Mtoa mada unatatizo mengi, ntaorodhesha Hapa KISHA ntakushauri

1.Unakutana na mwanamke humjui vizur in&out unajitosa mazima moyo wako wote kumpenda sana.
Ni kosa kubwa Sana.

2. Unasahau kwamba mwanamke akiwa na stress Anahitaji faraja, faraja anaweza kupata kwa mtu yeyote Alie around. Bahat nzur ulikuepo wewe.
Ila hilo haiondoi mapenz kwa wake anayempenda kwa dhati, ata Kama kamzingua sana. Anavumilia hivo hivo anaumia.

3. Kwenda kufanya mapenz kwny nyumba ya mwanamke Ni kosa kubwa Sana, ujatwambia kwann ulkua umpeleki kwako au hotel.
Nilikutahadharisha utakuja charangwa mapanga, na kweli jamaa akaja kukufanyia fujo.
(probably yeye Ndo sponsa wa hapo, stori ya Kila kitu chake Ulidanganywa)
Ndo Maana mwanamke akogopa kuachana nae Moja kwa moja, jamaa ni mshari Sana.

4. Jifunze kutofautisha huruma na upendo, uyo mwanamke alitulia kwako akiangalia Kama seriously jamaa atamove on, wewe uchukue nafas.
Bahat mbaya jamaa karudisha majeshi, huna chako Tena.

Cha kukushauri,
1.Kama kweli unampenda,
[emoji117]Vumilia mpk siku wavurugane ndo Wewe uchukue nafasi.
[emoji117]Wafanyie figisu wavurugane, mwanamke sana amchukie jamaa ww uchukue nafas.

2.Kama kwake umefata sex au uchumi
[emoji117]Kausha Kama hamna kilichotokea, weka ratiba zako vizur za kupewa Shea yako kisha ulale mbele.

YOTE NI MACHAGUO SAHII, CHOOSE WISELY[emoji4]
Ushauri wako , mzuri Ila la kwanza nzuri zaidi, kuhusu kwenda kwake na sio kwangu Ni kwamba kwangu nlimwbiaa twende (ameshafika Mara kibao)tatizo likaja Hanna mtu wa kumwachia amuamgalizie nyumba huyu mama Ana kija mmoja aliyezaa ktk ujana wake na hakuzaa Tena, kijana Ni mkubbwa Yuko chuo , akasema hawezi kutoka kwake Mana kijana wake akifunga chuo atakua anaenda wapi? Au anakaa na nani hapo nyumbani ! Maana kwangu pia Nina watoto wakubwa ikaonekana Basi tupige kambi hapo kwake! Nina uhakika [emoji817] hapo kwake jamaa hakushiriki mchango wowote maana jamaa aliposikia bidada Ana mtu mwingine alikua anapiga simu na kutuma sms kumbembeleza asamehewe vitu vyote nlikua navishuhudia maana alikua ananipa simu Kama X akituma msg , demu akawa anamwambia tuna miaka 2 hatuko pamoja hajawahi kujua nakula Nini umeona nimepata mtu unaanza kuomba msamaha mbona miaka yote hukuwahi kuuomba!! Demu anamuuliza jamaa au Kuna KITU chako chochote hapa kwangu nikurushie?? Jamaa anajibu hakuna
 
Mtoa mada unatatizo mengi, ntaorodhesha Hapa KISHA ntakushauri

1.Unakutana na mwanamke humjui vizur in&out unajitosa mazima moyo wako wote kumpenda sana.
Ni kosa kubwa Sana.

2. Unasahau kwamba mwanamke akiwa na stress Anahitaji faraja, faraja anaweza kupata kwa mtu yeyote Alie around. Bahat nzur ulikuepo wewe.
Ila hilo haiondoi mapenz kwa wake anayempenda kwa dhati, ata Kama kamzingua sana. Anavumilia hivo hivo anaumia.

3. Kwenda kufanya mapenz kwny nyumba ya mwanamke Ni kosa kubwa Sana, ujatwambia kwann ulkua umpeleki kwako au hotel.
Nilikutahadharisha utakuja charangwa mapanga, na kweli jamaa akaja kukufanyia fujo.
(probably yeye Ndo sponsa wa hapo, stori ya Kila kitu chake Ulidanganywa)
Ndo Maana mwanamke akogopa kuachana nae Moja kwa moja, jamaa ni mshari Sana.

4. Jifunze kutofautisha huruma na upendo, uyo mwanamke alitulia kwako akiangalia Kama seriously jamaa atamove on, wewe uchukue nafas.
Bahat mbaya jamaa karudisha majeshi, huna chako Tena.

Cha kukushauri,
1.Kama kweli unampenda,
[emoji117]Vumilia mpk siku wavurugane ndo Wewe uchukue nafasi.
[emoji117]Wafanyie figisu wavurugane, mwanamke sana amchukie jamaa ww uchukue nafas.

2.Kama kwake umefata sex au uchumi
[emoji117]Kausha Kama hamna kilichotokea, weka ratiba zako vizur za kupewa Shea yako kisha ulale mbele.

YOTE NI MACHAGUO SAHII, CHOOSE WISELY[emoji4]
Kitu kingine jamaa alikua ananiona hapo kwa muda wote nliokaa nae maana wanapoishi Ni jirani sio mbali!! Basi Kuna mchezo flani umefanywa na dada mtu na wamefanikiwa kumuwini huyu bidada, yote kwa yote natakiwa nkijitahidi tu kusahau na kuangalia Mambo mengine
 
Mbona komenti yako imemaliza kila kitu bulaza, uyu alikuwa kaoa mke wa mtu hivi miaka 10 wanapika wanapakua kwel na ww unasema umepata mpenzi hatar sana
Kuna kitu hujaelewa yule X yeye Ana wake wawili nyumbani kwake huyu demu alikua Ni Kama pozeo tu Ila ndo wamedumu pamoja kwa muda wote huo!! Afu kitu kingine mi pale kwake Wala sikutakaga kwenda alinisihi karibu mwezi mzima ndo nkaamua niende na baada ya kujiridhisha kwamba Yuko peke yake ndo nkaamua kupiga kambia rasmi!! Maana nkimwambia nataka nione mawasiliano na X wako mkoje Sasa hivi usije ukaniingiza mkenge , nkakuta mawasiliano hayapo lakini baadae X akawa anaomba msamaha demu hataki , mwisho akajiapiza ntafanya juu chini Hadi nihakikishe tunarudiana Sasa kuna dada yao mkubwa ndo X akawa anadeal nae walichopanga sijui Ila baada ya Ile fujo ndo demu akanipigia ndg wamesema kulingana na tukio la Jana sio vzr mwanaume aje hapa na nimeamua nikae mwenyewe tu!! Ndo juzi kwenda pale nkakuta kumbe ilipigwa zengwe akaambiwa na dadake mkubwa X ndo tunamtambua Basi na yeye akamkaribisha Tena!! Roho inauma sanaaa
 
Mkuu vuta pumzi ndani acha ipite hiyo hayo mambo yanauma sana sana asikwambie mtu ila endelea na mishe zako jichanganye na watu usimtafute kabisa mda sio mrefu utarudi normal tu
 
Kwanza una moyo mgumu yaan umegundua ana MTU then bado ukaendelea nae . ..kweli wewe ni muhujumu uchumi
 
Unaenda kulala kwa Mwanamke???

Enyi Vijana,, Wahuni tuseme mara ngapi kuwa ni tabia ya hovyo sana mwanaume kwenda kulala kwa Mwanamke.?
 
Mkuu vuta pumzi ndani acha ipite hiyo hayo mambo yanauma sana sana asikwambie mtu ila endelea na mishe zako jichanganye na watu usimtafute kabisa mda sio mrefu utarudi normal tu
Sawa mkuu ndicho nachojaribu kufanya , afu huwa nakuaga na kiburi kwa Hawa wadada sijui huyu kanishikaje!!
 
Kwanza una moyo mgumu yaan umegundua ana MTU then bado ukaendelea nae . ..kweli wewe ni muhujumu uchumi
Soma vzr nlichoandika utaelewa afu unaweza kunishauri au upige kimya
 
Sawa mkuu ndicho nachojaribu kufanya , afu huwa nakuaga na kiburi kwa Hawa wadada sijui huyu kanishikaje!!
Hiyo inatokeaga hata mimi niliwai shikwa na mmoja mpaka nikajishangaa ni mimi kweli na nilipelekwa puta vibaya sana mpaka baadae nikaamua yaishe tu iliniuma sana ila nikasahau mdogo mdogo tu
 
Soma vzr nlichoandika utaelewa afu unaweza kunishauri au upige kimya
Hawa ni sampuli ya wale wanaoanza kusoma comments kabla ya kusoma main thread ili kupata maudhui. Tuishi nao hivyo hivyo hakuna namna.

Ushauri wangu kwa sasa kata kabisa mawasiliano nae, najua atajitahidi kadri awezavyo kukutafuta kazi ni moja kata mawasiliano. Iambie nafsi yako huyu sio mtu sahihi kwangu! Yaliwahi kunikuta na ilinipa tabu ila nna moyo mgumu nikiamua sirudi nyuma, na ndivyo wanaume wanapaswa kuwa.

Pole sana mkuu
Cheers!!
 
Mkuu tatizo sio pesa, unawekeza hisia na muda wako alafu gafla inatokea hivyo Bora hata Kama ningekua nimemkosea
Hicho unachopanga kumfanyia umeshafikiria matokeo yake yatakuwaje?

Sikuombei mabaya ila kaa chini tuliza akili fikiria outcomes, ndiyo umewekeza pesa, hisia na muda .
Ila angalia usije kosa vyoote hivyo kwa kufuata hasira zako maana ikatokea umemdhuru jua yatakayokupatani makubwa kuliko hivyo ulivyopoteza.

Pesa inatafutwa, muda bado unao maadamu ni mtanzania huru una nguvu na afya, kwenye hisia hapo muda ndo utakuponya tafuta ishu nyengine ya kufanya acha kuwasa kurudi gerezani.
 
Hawa ni sampuli ya wale wanaoanza kusoma comments kabla ya kusoma main thread ili kupata maudhui. Tuishi nao hivyo hivyo hakuna namna.

Ushauri wangu kwa sasa kata kabisa mawasiliano nae, najua atajitahidi kadri awezavyo kukutafuta kazi ni moja kata mawasiliano. Iambie nafsi yako huyu sio mtu sahihi kwangu! Yaliwahi kunikuta na ilinipa tabu ila nna moyo mgumu nikiamua sirudi nyuma, na ndivyo wanaume wanapaswa kuwa.

Pole sana mkuu
Cheers!!
Mm mwenyewe ndio moyo wng huo, hua sirudi nyuma Kuna siku alishika msg za mzigo wangu napashaga Basi akasema is over sitaki Tena kuendelea na wewe!! Nkajisemea moyoni hivi huyu ananijua au hanijui!! Nkaenda mazima no simu Wala msg baada ya wiki akaanza kunitafuta mm nkapiga kimya akapitia kwa rafiki yangu nkarudi , Nashangaa hii imekua garama kukubaliana nayo
 
Mimi Ni mpambanaji mkuu na mizigo ninayo yenye kiwango hata kumzidi Ila huwezi amini anavyoipeleka roho yangu puta!najiuliza mbona nimekua hivi kwa Nini??
alikuendea kwa kalimanzira mkuu amini hilo na wewe nenda mbele za Mungu muombe akupe ujasiri uweze ku move on
 
Back
Top Bottom