Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

1.shida iko kwako...mambo ya mjini na wanawake wa mjini huyajui.....huyo mwanamke ni wa mjini....anawachekecha....

2.ww kwenye mapenzi bado....ila kwasababu unampenda huna pa kwenda....komaa nae

3mpe hela huyo mwanamke x wake anampa hela ndio maana ww huelewi

4.ukikutana nae next time hakikisha unamla rojo.....
 
Brother muache huyo ni kahaba......kaa tulia endelea na maisha mengine wanawake wa sasa ni changamoto sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hata Mimi ndivyo nlikua nafikiria kufanya lakini nafsi inakataa kukubali hii Hali sijui kwa nini
 
Kusema alikua anatuchekecha naweza kukubali, hayo mengine sio sahii!! Mm Ni ekaa nae muda huo hakuna anachopata kutoka kwa x wake , kikubwa niseme tu ndg zake ndio wameingilia na wakafanikiwa kumuwini
 
Siku aliposema usije tena kwake ndio siku ambayo ulitakiwa kukata mawasiliano nae! Wrong move na umetumika vibaya kweli mzee sina la ziada zaidi ya kukupa pole sana😅

Sikuingine usimuamini mwanamke hata kidogo. Hata kama ulimkuta ametundikiwa dripu usimuamini mwanamke ever! Mwanamke akikupa mbunye piga tu ila usimuweke sana akilini.
 
Hata Mimi ndivyo nlikua nafikiria kufanya lakini nafsi inakataa kukubali hii Hali sijui kwa nini
Nafsi yako ifanye ikubali hali tu mkuu! Kama mungu kakujalia vichenchi malaya ni wengi mjini kamata mmoja uhonge kidogo uwe unajipigia itakusaidia kumsahau huyo shankupe muuza unga!

Tafta pisi moja kali sana uwe unaizibua mara kwa mara lazma umsahau huyo mwendawazimu na X wake!
 
Mkuu muda uliokutana na huyo mwanamke wala sio mrefu kiasi cha kusema umevurugwa, ushaachwa hivyo achika. unasema umewekeza lakini kwenye stori ako hakuna sehemu umesema umewekeza zaidi ya kumsaidia akiwa na matatizo ambalo ni jambo jema binadamu kusaidiana.
 
Atakutafuta uyu mwanamke na x wake wanapendana ila awaishi kugombana baada ya miez kazaa watagombana na atakurudia ww kwa kuendelea na unajimu huu nitafutie jina la mama yake uyo binti niendelea kunajimu
 
Ushauri wa kibabe [emoji23][emoji23]
 
Laki tano tu unawaza kufanya kitendo kibaya ? Kuna shida mahali
 
Alichonifanyia huyu mwanamke sijui kwa kweli, na alivyokua ananiambia alichofanyiw na yule X wake sijui kwa kweli yaani nimekubali mwanamke sio mtu wa kuamimi hata siku moja
Watu wengine wameletwa katika maisha yetu , sababu kubwa ni waje kutufundisha jambo .
Samehe na usonge mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…