Msaada tafadhalini: Nifanyeje nimwamshe mke wa mtu kwani anasafiri alfajiri hii na bado amelala

Msaada tafadhalini: Nifanyeje nimwamshe mke wa mtu kwani anasafiri alfajiri hii na bado amelala

Huko kagera Ndio mmepanga mkaonane??

wajina mulize aiseh. hii habar bana ni utata mtupu sasa mkee wamtu achelewe basi asichelewe yeye ina muhusu nini? kama ni ivo basi kuna uwezekano. una mbinu umepanga naye huezi vurugwa nafsi ivo. kisa mke wa mtu. sumu bwana huna wako.kwani
 
Wewe unatakiwa kufanywa kitu ili akiliyako irudi kichwani.
 
Mbona unajikanyaga umesema ameamriwa kuzima taa wakati amemelala? Alafu kati ya mke, mme na doezi nani anajua umuhimu wa safari?
 
kuna mdada mmoja anatakiwa saa 10 hii awe ameshaamka ili ajiandae kwani anasafiri na basi la saa 11 na nusu kwenda mkoani kagera na kibaya zaidi ni mke wa mtu na tokea saa 9 kengele ya kumwamsha " alarm " imekuwa ikilia tu na yeye nadhani sijui ni kwa usingizi mtamu au " majamboz " ya mumewe anaizima na mpaka muda huu naandika uzi huu bado hajaamka na kujiandaa na imebaki saa moja tu basi analopanda lianze safari. nasikia uchungu sana kwani jana usiku aliniaga kuwa leo anasafiri na mpaka sasa bado hajaamka na napatwa na hamu ya kwenda kumuamsha ila kuna kizingiti kikubwa ambacho ni mumewe ambaye ni " mkorofi "na ana " wivu " balaa na ni mcheza " karate " maarufu tu haa mtaani kwetu hivyo naogopa! akili inanituma nijitolee nikamwamshe ila mwili unakuwa mzito kutenda na unasita sita. nawaombeni ushauri members wenzangu je nifanyeje ili niweze kumsaidia huyu dada jirani yangu aamke na awahi usafiri wa kwenda kagera? nipeni majibu ya haraka na upesi ili fasta fasta nimsaidie mwenzetu huyu. mama yangu kengele imelia tena sasa hivi jamaa namsikia anamwambia " zima na lala ". madirisha yetu hayapo mbali kivile!

Acha hadithi za uongo,hakuna basi linaloanza saa 11.30 alfajiri,kwa sheria za nchi mabasi yote yanaanza safari saa 12.00 asubuhi
 
Hizi ID zenye majina ya dawa ni hodari kwa kutunga hadithi/ umbeya ...
 
Acha hadithi za uongo,hakuna basi linaloanza saa 11.30 alfajiri,kwa sheria za nchi mabasi yote yanaanza safari saa 12.00 asubuhi

mliozoea kusafiri na treni mna taabu sana. nenda pale ubungo sasa hivi kaulize magari ya kigoma na kagera yanatoka pale saa ngapi? au unadhani muda wa mabasi ni sawa na hizo treni zenu za kwenda kijijini kwenu " ikupulupi nkoba? " ambazo zinaanza safari zake hapa dar saa 12 jioni?
 
Back
Top Bottom