Msaada tafadhalini: Nifanyeje nimwamshe mke wa mtu kwani anasafiri alfajiri hii na bado amelala

Msaada tafadhalini: Nifanyeje nimwamshe mke wa mtu kwani anasafiri alfajiri hii na bado amelala

kaamka muda si mrefu na sasa namwona anasugua miguu yake baada ya kutoka kuoga na namwona hapa dirishani kwangu tena akiwa kavaa kanga moko tu. yaani wewe acha tu mkuu huyu mtoto natamani hata leo agombane na mumewe nizoe mzigo kwani kama uwajuavyo " wahaya " walivyo na " mawezere " ya kufa mtu. ni full midadi!
Mmmmmmmmmm
 
Ndio matatizo ya kukosa nafasi ya kujiunga na kidato cha 5

sema ndiyo tatizo la kukosa nafasi ya kwenda kufanya " phd " yangu mbwiga mkubwa wewe! hiko kidato cha tano usikute hata wewe hujafikia!
 
mmmh nafikiri ukikatwa mshipa mmoja wa akili uliokuwa nao bas utakua kichaa....nainanysha ww ni bwabwa sio bure
 
sema ndiyo tatizo la kukosa nafasi ya kwenda kufanya " phd " yangu mbwiga mkubwa wewe! hiko kidato cha tano usikute hata wewe hujafikia!

😃😃😃phd unaweza kuandika ujinga kama huo? kumbe hata hiyo ya kujiunga na kidato cha 5 nilikosea utakuwa ni wa STD VII wewe
 
Mzee wa upopoma una ID tatu zote una mwandiko unaofanana

zitaje hizo id's na ikibidi naomba utoe ushahidi wake wa kimaandishi wa post zangu zote za ktk id hii na hizo zingine unazozisema wewe na " poyoyo " mmoja ambaye ana id ya kiongozi " shoga " wa zamani wa nchini italia. nimevumilia huu uzushi wenu kuhusu hii id yangu pendwa na hizo zenu za kipuuzi mnazonihusisha nazo ambazo hata sizijui na inawezekana ikawa labda ni coincidence tu lakini nyie mnavyosema inaonyesha mna uhakika na " ubashiri " wenu wa " kipoyoyo ". naomba utoe ushahidi wa hiki ulichokisema vinginevyo nawaachia mods wafanye yao. nimewachoka kulikotukuka!
 
phd unaweza kuandika ujinga kama huo? kumbe hata hiyo ya kujiunga na kidato cha 5 nilikosea utakuwa ni wa STD VII wewe

ujinga na upumbavu wa mtu unataokana na kile anachokiona na kukipokea na mpaka hapa na kwa haya majibu yako nimeshajua uwezo wako wa kufikiri lakini sikulaumu sana wewe kwani yawezekana siku " walipokupigia bao " wahusika walikuwa wanakunywa vidonge vyao vya " ukichaa " huku wakiwa " wamepombeka "sana ndiyo ukapatikana " poyoyo " wewe. yaani kweli wewe unachekesha eti mimi leo kukuambia nataka kwenda kufanya " phd " yangu unanidharau lakini hao hao phd holders wako ambao wengi wao ndiyo viongozi wako serikalini na waliokusababishia huo umasikini wako na wengine ni " maprofesa na madaktari " wa redet ambao juzi tu wamekuja na kichekesho na aibu kwa wanataaluma hujawacheka wala kuwadharau ila " antibiotique " na nia yake ya kufanya phd yake kwako ni tatizo. you must be very idiot indeed!
 
ujinga na upumbavu wa mtu unataokana na kile anachokiona na kukipokea na mpaka hapa na kwa haya majibu yako nimeshajua uwezo wako wa kufikiri lakini sikulaumu sana wewe kwani yawezekana siku " walipokupigia bao " wahusika walikuwa wanakunywa vidonge vyao vya " ukichaa " huku wakiwa " wamepombeka "sana ndiyo ukapatikana " poyoyo " wewe.

Mbona unatoka mapovu mkuu sio kosa langu ni kosa la wazazi wako kutokupeleka shule.
 
Hivi hii Post bado ipo?na bado inapata replies??
 
Mbona unatoka mapovu mkuu sio kosa langu ni kosa la wazazi wako kutokupeleka shule.

shule gani tena hiyo sijaenda kama muda mfupi tu ujao nakuachia nchi yako hii ya " kifisadi " na naenda kutaalumika kwa wenye " akili " zao? najua unatamani sana kuwa kama mimi ila bahati mbaya sana yawezekana wazazi wako " hawakujipanga " vizuri kimaisha na sasa hasira zako unazileta kwangu kwa ajili tu ya " wivu " hapo ulipo tu kwenyewe unatumia " bundle " la kudoea ofisini kwako na baadae " bosi " akitaka kufunga ofisi basi na wewe una " log out " fasta uanze kukimbizana na makondakta na kuomba msaada wa " kupanda " daladala kama " staff " au " nauli pungufu ". tafuta wa kujifananisha nao humu na mbona wapo wengi tu mnaofanana " kiupoyoyo? ".
 
Hivi hii Post bado ipo?na bado inapata replies??

na ipo page ya 4 na replies 71 sasa ( ukiongeza na yako poyoyo wewe ) na itakwenda tu. ile yako uliyoianzisha majuzi nakumbuka iliishia page 1 tu watu wakakupotezea. ukiona watu wanatiririka kujibu humu ujue wameona kitu fulani either cha " kuwachangamsha " or " cha kuwa challenge " tu na kwa hii post yako tu inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na wivu " wa kike kwa post zangu. kuanzisha uzi na watu pia kujibu kunahitaji ushwawishi fulani wa " kiasili " ambao binadamu amejaaliwa nao na siyo uzi huu tu angalia threads zangu zingine zote huko nyuma watu " wadau " wangu wanatupia / wanatiririka tu. ningekuona una " akili kama usingejibu lakini kwa kitendo cha wewe tu kupoteza muda wako na kuandika kinaonyesha ni jinsi gani nilivyokushawishi na " tuvituvitu " vyangu na ukashawishika.
 
Piga kelele za mwizi. Wakiamka na kutoka unamwambia ulikuwa unaota upo kituo cha basi unasafiri leo saa kumi alfajiri sasa wakati unawahi mwizi akajaribu kukuibia.
 
Piga kelele za mwizi. Wakiamka na kutoka unamwambia ulikuwa unaota upo kituo cha basi unasafiri leo saa kumi alfajiri sasa wakati unawahi mwizi akajaribu kukuibia.

very creative and clever. thanks for this my dear fellow jf member!:happy::happy::happy:
 
Kumbe kazi yako kuamsha watu Usiku?

Unalipwa shilingi ngapi....
 
Piga kelele za mwizi. Wakiamka na kutoka unamwambia ulikuwa unaota upo kituo cha basi unasafiri leo saa kumi alfajiri sasa wakati unawahi mwizi akajaribu kukuibia.

Mkuu umetisha kula LIKE la nguvu
 
Piga kelele za mwizi. Wakiamka na kutoka unamwambia ulikuwa unaota upo kituo cha basi unasafiri leo saa kumi alfajiri sasa wakati unawahi mwizi akajaribu kukuibia.

Smart911 : Wewe ni nouma , nimependa sana ushauri wako kwa huyu jamaa.
 
Wewe utakuwa shoga.

Mwanaume halisi hawezi Kuwa mbea na kufuatilia mambo binafsi ya watu.
 
Wewe utakuwa shoga.

Mwanaume halisi hawezi Kuwa mbea na kufuatilia mambo binafsi ya watu.

mtu hawezi kumjua mwenzake kama ni " shoga " endapo na yeye siyo kubwa la " mashoga " kama wewe. heshima yako shoga mkuu na heko.
 
Back
Top Bottom