Msaada tafadhalini: Nifanyeje nimwamshe mke wa mtu kwani anasafiri alfajiri hii na bado amelala

Huko kagera Ndio mmepanga mkaonane??

wajina mulize aiseh. hii habar bana ni utata mtupu sasa mkee wamtu achelewe basi asichelewe yeye ina muhusu nini? kama ni ivo basi kuna uwezekano. una mbinu umepanga naye huezi vurugwa nafsi ivo. kisa mke wa mtu. sumu bwana huna wako.kwani
 
Wewe unatakiwa kufanywa kitu ili akiliyako irudi kichwani.
 
Mbona unajikanyaga umesema ameamriwa kuzima taa wakati amemelala? Alafu kati ya mke, mme na doezi nani anajua umuhimu wa safari?
 

Acha hadithi za uongo,hakuna basi linaloanza saa 11.30 alfajiri,kwa sheria za nchi mabasi yote yanaanza safari saa 12.00 asubuhi
 
Hizi ID zenye majina ya dawa ni hodari kwa kutunga hadithi/ umbeya ...
 
Acha hadithi za uongo,hakuna basi linaloanza saa 11.30 alfajiri,kwa sheria za nchi mabasi yote yanaanza safari saa 12.00 asubuhi

mliozoea kusafiri na treni mna taabu sana. nenda pale ubungo sasa hivi kaulize magari ya kigoma na kagera yanatoka pale saa ngapi? au unadhani muda wa mabasi ni sawa na hizo treni zenu za kwenda kijijini kwenu " ikupulupi nkoba? " ambazo zinaanza safari zake hapa dar saa 12 jioni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…