Msaada tafadhalini: Nifanyeje nimwamshe mke wa mtu kwani anasafiri alfajiri hii na bado amelala

Acha kufuatilia mambo binafsi ya watu.

Kama amehairisha safari?
Wewe kila siku na topic za masuala binafsi ya watu, huoni aibu.
Ana hamu na malinda yake huyo...fyuuuu
 
Mkuu lete mrejesho sasa.
Ulifanyaje, maana ishakua jioni tangia ulipo tupia uzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…