Ikitokea kweli si atakuita mchawi?Ukute hata siyo ndoto,umejitungia tu stori yako na kuileta hapa.
Kwa ukaribu gani ulio nao na Mbowe hadi umuotee ndoto?!!
Ndogo hiyo inamaanisha kwamba wewe ni fala.Ndugu zangu, usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo imenifanya nibaki na maswali mengi sana.
Katika ndoto hiyo, Freeman Mbowe alikuwa amefiwa na ndugu yake wa kiume, lakini sikufahamu kama alikuwa kaka yake au mdogo wake. Sina taarifa kwamba jambo hili limetokea kweli au kama Mbowe ana kaka au ndugu yake wa kiume; ninasimulia nilichokiona katika ndoto tu usiku wa kuamkia leo.
Nilienda msibani, na katika ndoto hiyo, jirani wa karibu kabisa wa Mbowe alikuwa Bwana Kishimba, yule mbunge machachari wa Kanda ya Ziwa. Hata hivyo, Kishimba hakufika kutoa pole na wala hakuchangia chochote katika msiba huo ingawaje alikuwa karibu sana na nikaona ni jiani yake Mh. Mbowe.
Mbowe mwenyewe alichangia shilingi milioni 500, huku sisi waombolezaji wengine tukichangia jumla ya shilingi milioni 424. Kwa hiyo, michango yetu yote kwa pamoja ilikuwa chini ya mchango wake binafsi.
Katika ndoto hiyo, Mbowe alionekana kulalamika kwamba alikuwa amechangia fedha nyingi kuliko waombolezaji wengine wote kwa pamoja. Nikabaki nikijiuliza: Kwa nini alalamike kwamba waombolezaji wamechangia kiasi kidogo kuliko yeye mwenyewe? Hivi, hata kwenye msiba kuna mashindano ya michango?
Ndoto ikaishia hapo.
Naomba msaada wenu kuelewa ndoto hii inaweza kuwa na maana gani. Asanteni, ndugu zangu.
Acheni Mizaha ni ndoto niliyoota... wanajimu wa kutafsiri waje watoe muongozo...
Umeielewa ndoto yake?Ikitokea kweli si atakuita mchawi?
Ndugu yake Mbowe kwenye ndoto inasimama kama (CCM). Utaona jinsi gani mbowe na CCM wamekua karibu.Ndugu zangu, usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo imenifanya nibaki na maswali mengi sana.
Katika ndoto hiyo, Freeman Mbowe alikuwa amefiwa na ndugu yake wa kiume, lakini sikufahamu kama alikuwa kaka yake au mdogo wake. Sina taarifa kwamba jambo hili limetokea kweli au kama Mbowe ana kaka au ndugu yake wa kiume; ninasimulia nilichokiona katika ndoto tu usiku wa kuamkia leo.
Nilienda msibani, na katika ndoto hiyo, jirani wa karibu kabisa wa Mbowe alikuwa Bwana Kishimba, yule mbunge machachari wa Kanda ya Ziwa. Hata hivyo, Kishimba hakufika kutoa pole na wala hakuchangia chochote katika msiba huo ingawaje alikuwa karibu sana na nikaona ni jiani yake Mh. Mbowe.
Mbowe mwenyewe alichangia shilingi milioni 500, huku sisi waombolezaji wengine tukichangia jumla ya shilingi milioni 424. Kwa hiyo, michango yetu yote kwa pamoja ilikuwa chini ya mchango wake binafsi.
Katika ndoto hiyo, Mbowe alionekana kulalamika kwamba alikuwa amechangia fedha nyingi kuliko waombolezaji wengine wote kwa pamoja. Nikabaki nikijiuliza: Kwa nini alalamike kwamba waombolezaji wamechangia kiasi kidogo kuliko yeye mwenyewe? Hivi, hata kwenye msiba kuna mashindano ya michango?
Ndoto ikaishia hapo.
Naomba msaada wenu kuelewa ndoto hii inaweza kuwa na maana gani. Asanteni, ndugu zangu.
Acheni Mizaha ni ndoto niliyoota... wanajimu wa kutafsiri waje watoe muongozo...
Asante Sana, vipi kuhusu hayo mamilioni ambayo hakuridhika nayo?Ndugu yake Mbowe kwenye ndoto inasimama kama (CCM). Utaona jinsi gani mbowe na CCM wamekua karibu.
Kwaiyo msiba uliona kwa ndoto ni msiba wa serikali dhalimu ya Chama cha Mapinduzi.
Tangu mdogo wako afanye upasuaji na kuona utukufu wa mungu jinsi mishipa ubongo na damu zinavyofanya kazi.Ukiona cho ndotoni kuwa makini usikitumie
Hongera mkuu...unaota hadi ndoto za kitaifa!Ndugu zangu, usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo imenifanya nibaki na maswali mengi sana.
Katika ndoto hiyo, Freeman Mbowe alikuwa amefiwa na ndugu yake wa kiume, lakini sikufahamu kama alikuwa kaka yake au mdogo wake. Sina taarifa kwamba jambo hili limetokea kweli au kama Mbowe ana kaka au ndugu yake wa kiume; ninasimulia nilichokiona katika ndoto tu usiku wa kuamkia leo.
Nilienda msibani, na katika ndoto hiyo, jirani wa karibu kabisa wa Mbowe alikuwa Bwana Kishimba, yule mbunge machachari wa Kanda ya Ziwa. Hata hivyo, Kishimba hakufika kutoa pole na wala hakuchangia chochote katika msiba huo ingawaje alikuwa karibu sana na nikaona ni jiani yake Mh. Mbowe.
Mbowe mwenyewe alichangia shilingi milioni 500, huku sisi waombolezaji wengine tukichangia jumla ya shilingi milioni 424. Kwa hiyo, michango yetu yote kwa pamoja ilikuwa chini ya mchango wake binafsi.
Katika ndoto hiyo, Mbowe alionekana kulalamika kwamba alikuwa amechangia fedha nyingi kuliko waombolezaji wengine wote kwa pamoja. Nikabaki nikijiuliza: Kwa nini alalamike kwamba waombolezaji wamechangia kiasi kidogo kuliko yeye mwenyewe? Hivi, hata kwenye msiba kuna mashindano ya michango?
Ndoto ikaishia hapo.
Naomba msaada wenu kuelewa ndoto hii inaweza kuwa na maana gani. Asanteni, ndugu zangu.
Acheni Mizaha ni ndoto niliyoota... wanajimu wa kutafsiri waje watoe muongozo...
Hahaha.Tangu mdogo wako afanye upasuaji na kuona urukufu wa mungu jinsi mishipa upongo na damu zinavyofanya kazi.
Umeanza kwa matusi, ukamalizia kwa kujifanya mwalimu wa Kiswahili, lakini hoja yenyewe imekupita. “Kutoa rambirambi” hakufuti uwepo wa “kuchangia gharama za msiba.” Watu huchangia fedha za jeneza, usafiri, chakula na mazishi. Hayo maneno yanaweza kutumika kulingana na kinachozungumziwa.Kimsingi hiyo ndoto ya kipumbavu sana. Hiyo ndoto ingendeelea mbele kidogo ungejinyea kitandani ikiwa ni baada ya kula msosi wa msibani. Msibani tunatoa rambirambi hakuna KUCHANGIA.