Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Mzee baba chukua LingLong....hautajutia. Michelin ilikuwa zamani asaivi zinauzwa zikiwa mbichi sana. Ukitaka nalikupe number za FUNDI mtaalamu wa kuchagua tairi na atakusaidia sana. Mi nipo Dom ila yeye yupo dar
We boya sana jamaa....haya baki ivo ivoYaani tairi ya kichina ya shiling elf 80 ufananishe na tairi ya ufaransa ya laki 4?? U can't be serious
We boya sana jamaa....haya baki ivo ivo
nilichukua Linglong kwa shingo upande lakini ni mwaka wa pili sasa hivi ziko vizuri na kila baada ya miezi mitatu au minne natembea si chini ya km 1200 ,NA ninaishi porini lami naionja week end tuuMzee baba chukua LingLong....hautajutia. Michelin ilikuwa zamani asaivi zinauzwa zikiwa mbichi sana. Ukitaka nalikupe number za FUNDI mtaalamu wa kuchagua tairi na atakusaidia sana. Mi nipo Dom ila yeye yupo dar
Msome huyo boya hapo juu...anajaribu kudandia hoja ya vitu amabavo havijuinilichukua Linglong kwa shingo upande lakini ni mwaka wa pili sasa hivi ziko vizuri na kila baada ya miezi mitatu au minne natembea si chini ya km 1200 ,NA ninaishi porini lami naionja week end tuu
Hii ni hoja ya wanaomiliki private cars mkuu, so kaa kandoNakusaidia tu jitahid ujifunze vitu, matusi hayatakusaidia. Huwezi hata sikumoja ujafananisha linglong na michelin yaani ni sawa na kufananisha tecno na iphone
Hii ni hoja ya wanaomiliki private cars mkuu, so kaa kando
sio lazima kitu cha bei kubwa kiwe na ubora unaotarajia mkuu,sometimes tunauziwa majina tu boss wanguYaani tairi ya kichina ya shiling elf 80 ufananishe na tairi ya ufaransa ya laki 4?? U can't be serious
sio lazima kitu cha bei kubwa kiwe na ubora unaotarajia mkuu,sometimes tunauziwa majina tu boss wangu
Unaweka tairi ya linglong aaaf bima yenyewe ndogo........mzee baba acha utani basi....ucjejikuta unamiliki funguo wa gari tu ohooosio lazima kitu cha bei kubwa kiwe na ubora unaotarajia mkuu,sometimes tunauziwa majina tu boss wangu
Anafananisha Techno na Samsung ama iPhone!Yaani tairi ya kichina ya shiling elf 80 ufananishe na tairi ya ufaransa ya laki 4?? U can't be serious
Eti pancha imekuwa historia, ina maana misumari haiwezi kutoboa hizo tairi?Chukua dunlop mkuu hutojutia uamuz wako. Mi wiki iliyopita nimenunua mawili size 16 ya nissan wingroad kwa laki 3 na 60 at the wheel mikocheni na kubadirishiwa bure. Mwaka juz pia nilinunua hiyo brand kwa gar nyingine had leo iko poa kabisa pancha zimekuwa historia