Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Mbona hiyo miaka ndo expire date kwa tyre zote duniani?MKuu Kuna tairi wanaita YANA. Nilifunga kwenye Gari Mwaka 2011 nilipiga safari DAR - Dom hadi 2015 Tairi moja saizi 15 ni kati ya 350,000- 450000(stand to be corrected)