olambo12zc
New Member
- Feb 13, 2023
- 4
- 9
Ohh so sorry jamaniMtu ambae anajua dawa ya kumaliza tatizo la kunuka mdomo nisaidieni!
Napiga mswaki mara tatu kwa siku, nimetumia mouth wash mpaka nimechoka, nimetolewa tonsils lakini wapi!ππ
Nisaidie jamani nahicsi kwenda maporini nikaishi na miti na wanyama, sababu nimeachana na mpenzi kisa tatizo hili, darasani nilifanya vibaya kisa tatizo hili. Nimetumia gharama kubwa kununua madawa wapi.π
Mtu aliyewahi kuwa na tatizo hili na akapona aniambie basi na mimi niishi kama binadamu wengine.
Nipo Dar, nahitaji msaada wenu wananzengo!
SinaaUna jino bovu?
Nimeenda kila hospitali ! Mwananyamala , Albert Kairuki, RABININSIA, Almandari posta na pharmacy ndo usisemeee! Iβm totally tired of living!ππππMkuu hospitali umeenda? Ukapata tiba gani? Au unanunua tu dawa? Umeonana na specialist wa maswala ya kinywa na meno?..
Maelezo yako hayajitoshelezi bado.
Kuna sababu nyingi zinazosababisha io hali, ukiachana na usafi wa kinywa, meno na ulimi kila siku ilikuondoa bacteria, unaweza kuwa na upungufu wa madini zinc, kutofautiana kwa vichocheo mwilini(hormone imbalance) pamoja na magonjwa mengine kama GERD au reflux,intestinal obstruction, matatizo ya ini etc..
Hivyo ni lazma ujue io tatizo lako linasababishwa na nini haswa ili upate matibabu sahihi.. NENDA HOSPITALI.
Una uhakika na hili jibu lako mkuu?umeenda kila hospitali sawa, alafu huwa wanakwambia tatizo ni nini baada ya vipimo? ..Nimeenda kila hospitali !
Almandari ndio hospital gani jomba? Hebu kuwa serious. Au umemega kipande cha nnya broπππNimeenda kila hospitali ! Mwananyamala , Albert Kairuki, RABININSIA, Almandari posta na pharmacy ndo usisemeee! Iβm totally tired of living!ππππ
Wanawake wa ajabu, kuna mwamba alizama chumvini lakini lilipoibuka mwanamke akala kona!π
Nisaidie jamani ..................nimeachana na mpenzi kisa tatizo hili.
Mkuu pole kwa kunuka mdomo wako dawa ninayo mimi ukikosa dawa nitafute mimi ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.Mtu ambae anajua dawa ya kumaliza tatizo la kunuka mdomo nisaidieni!
Napiga mswaki mara tatu kwa siku, nimetumia mouth wash mpaka nimechoka, nimetolewa tonsils lakini wapi!ππ
Nisaidie jamani nahisi kwenda maporini nikaishi na miti na wanyama, sababu nimeachana na mpenzi kisa tatizo hili, darasani nilifanya vibaya kisa tatizo hili. Nimetumia gharama kubwa kununua madawa wapi.π
Mtu aliyewahi kuwa na tatizo hili na akapona aniambie basi na mimi niishi kama binadamu wengine.
Nipo Dar, nahitaji msaada wenu wananzengo!