Msaada: Tatizo la harufu mbaya kinywani

Msaada: Tatizo la harufu mbaya kinywani

Mtu ambae anajua dawa ya kumaliza tatizo la kunuka mdomo nisaidieni!

Napiga mswaki mara tatu kwa siku, nimetumia mouth wash mpaka nimechoka, nimetolewa tonsils lakini wapi!😔😔

Nisaidie jamani nahisi kwenda maporini nikaishi na miti na wanyama, sababu nimeachana na mpenzi kisa tatizo hili, darasani nilifanya vibaya kisa tatizo hili. Nimetumia gharama kubwa kununua madawa wapi.😭

Mtu aliyewahi kuwa na tatizo hili na akapona aniambie basi na mimi niishi kama binadamu wengine.

Nipo Dar, nahitaji msaada wenu wananzengo!
Mkuu ulishapata tiba ya tatizo lako? Kama bado njoo PM nikuelekeze nini cha kufanya.
 
Back
Top Bottom