SSMashinji
Senior Member
- Aug 10, 2023
- 129
- 191
sio kwa kila mtu na ni marachache , hem naomba aseme baada ya huyo mgonjwa kwenda kufanya vipimo wamemwambia anashida gani hmalohMkuu Unahabari Kwamba Kuna Baadhi Ya Magonjea Yanaweza Kuinduce Constipation??
Yaani Hysteria Constipation??
Kwa mfano mtu ana Anal Fissure au Anapata Maumivu makali wakati wa Haja huoni kama Lazma Constipation itakuja Automatically hata kama anafata sheria zote?
Kwasababu anaweza Kupata Feacal Impaction na Hata Feacal retention kwa Hofu ya Kuumia aendapo Haja??
Bisacodyl ni moja ya dawa inayotibu constipation,kama tatizo la constipation limeisha na bado anaendelea kupata choo chenye damu,aende hospitali kwaajili ya hatua za ziada.Na vp kama kwa sasa hana constipation hiyo basocodyl itamsaidia?
Medicine its not for Everybody!Bora ww ni pediatrician mm ni mwananchi wa kawaida tu
count that as a typing errorIs it Brain Fracture Possible au Skull fracture!
Samahani Kidogo kwa kuuliza Maana I'M not Orthopedics mimi Ni Paediatrician Tu..
🥺🥺🤔🤔🤔🤔
Ndo maana ushauri mkubwa ni aende hospital maana anasema choo sometimes ni kilain ila bado damu inatokaBisacodyl ni moja ya dawa inayotibu constipation,kama tatizo la constipation limeisha na bado anaendelea kupata choo chenye damu,aende hospitali kwaajili ya hatua za ziada.
Hii Nimeipenda Mkuucount that as a typing error
Typing error mara mbili zote?count that as a typing error
Typing error mara mbili zote?
Hii Nimeipenda Mkuu
Hamna nadhani jamaa kamaanisha akae kwenye beseni ili detol ambayo ni dawa,iweze kufikia jeraha,na hivyo aweze kupona,nadhani umemuelewa tofauti.Mitandao ina faida kubwa,ukitaka kujifunza.Ukisikiliza watu mitandaon unapotea eti aloweke makalio ili yaive au 😂😂
bora ata maana kunavichwa um daaah. long live our english debating club kibao kwa kichwaHamna nadhani jamaa kamaanisha akae kwenye beseni ili detol ambayo ni dawa,iweze kufikia jeraha,na hivyo aweze kupona,nadhani umemuelewa tofauti.Mitandao ina faida kubwa,ukitaka kujifunza.
Hapana Mkuu kama Unafahamu Hippocroatic Oath..sasa mbona mnachafua thread ya watu c muende huko nilipoanzisha thread mkaone error nyingine nyingi t hapa mbona kidogo
nilitaka tu akapime ili majibu apate kwanza kutoka kwenye vipimo, ndio tuanzekuongea afanye kwenye tatizo linalojulikana, hata kwaelimu tu siombaya kwa maelezo na kutokua suprised na majibu.Hapana Mkuu kama Unafahamu Hippocroatic Oath..
Ilibidi Kurekebisha Mambo ili Mgonjwa Apate Mwanga wa nini cha Kufanya..
na lengo Lilikuwa Ni Kuweka sawa Baadhi ya mambo na nina imani Mtoa Mada amepata Kitu na cha msingi Zaidi ataenda Hospitali ili akapatiwe Matibabu husika..
Asante sana wote wangekuwa na uelewa kama ww hii Dunia huenda ingekuwa mahali pazur sana pa kuishi mileleMjadala mzuri sana aisee,,,nimependa zaidi mabishano ya hapa na pale ambayo yanafundisha na burudani pia
Huwa napenda sana kufuatilia ligi za mabishano ambayo hayana matusi
Kwa namna ambavyo nimeona mjadala wenu kwenda hospital ni muhimu zaidi,,kwasababu uzoefu wa mgonjwa mmoja sio lazima uwe sawa na mgonjwa mwengine
Asante sanaAsante sana wote wangekuwa na uelewa kama ww hii Dunia huenda ingekuwa mahali pazur sana pa kuishi milele
Tukiachana na madaktar wa google afya zetu zitaimarika
Mkuu vipi jamaa alipata usaidizi( alipona) naomba kujua alitumia niniAhsante mkuu kwa ushauri
Akikupa jibu tafazali shareAcha nimcheki kwanza kisha nitaleta majibu