Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Aiseee pole sana imeniuma km miye vile rafiki.Itakua maana nateseka nimeshakoswa koswa ajali karibia tatu
Usiku napata ndoto za kutisha [emoji24][emoji24][emoji24] yaani mateso tuu sijui niliwakosea nini
Uliwaonaje? Umechanjia ama.Niliwaona wachawi wakiwa wanaenda kuloga nikawatambua ndo shida ilianzia hapo na sikuwaona mara moja
AhahahahaAisee so wanataka kumla nyama??
Ongeza na Peripheral neuropathy ambalo hospital nyingi husema hawajaona tatizo.
Lina-describe nini?Peripheral neuralpath linawezaje kutumika kama neno la kudescribe ugonjwa (disioder) ? Hivi humu mbona tunapenda kuchukuliana poa?😅.
Wewe umejuaje ndugu?! Kama anatafuta msaada kweli je?!!!Nimefuatilia comment zote za mleta mada na kwa uwezo wangu wa kuchanganua mambo kupitia maandishi au mazungumzo, nachelea kusema kuwa mleta mada ni MUONGO.
Aiseee pole sana imeniuma km miye vile rafiki.
Uliwaonaje? Umechanjia ama.
Nimefuatilia comment zote za mleta mada na kwa uwezo wangu wa kuchanganua mambo kupitia maandishi au mazungumzo, nachelea kusema kuwa mleta mada ni MUONGO.
Lina-describe nini?
Naona unaleta ujuaji tu huku hata uandishi wako unaonesha ni mbumbumbu tu.
Hata neno Disorder tu huwezi kuliandika,kuna haja ya kukutilia maanani?
Hayajakukuta ndo maana unasema hivyo
Hutakiwi kuelezea mambo yasiyokuhusu,I have third eye
Kwahiyo mkuu, we ulijuje kuwa chanzo cha huo ugonjwa ni kuwaona wachawi?
Bora umemjibia kitaalamu maana wengine wanamshauri akakanyage mafuta...Mwili kucheza cheza wenyewe ni dalili za mzunguko mbaya wa damu mwilini au mfumo mishipa ya fahamu.
Mfano mdogo kama umewahi kuona mbuzi anachinjwa damu ikitoka unaona nyama zinatikisika zenyewe.
Dalili za kusikia maruwe ruwe ni Moja kwa Moja linahusiana na tatizo hilo la mzunguko mbaya wa damu ambao unaweza kubatana na dalili za ncha za vidole vya mikono au miguu kufa ganzi au miguu kuwa kama inawaka moto.
Nenda hospitali kapime moyo na pressure.Ukiwa na tabia ya kutafuna kitumguu swaumu yaweza kupunguza au dawa za wamasai za kunjwa kwa supu au maziwa
Hutakiwi kuelezea mambo yasiyokuhusu,
Kama mchawi hajaingia anga zake achana naye.
Nilijua kwa sababu nina jicho la tatu na hao watu ni watu wangu wa karibu ikawa rahisi wao kunidanganya kwa kumleta mganga kwangu kama vile ananitibu kumbe alikuja kuniloga ili nife nisitoe siri yao
Ila we jamaa bwana😅.Sawa lakini mimi niliwaona sio kwa kupenda kwangu iliyokea tuu hivyo halafu ni watu na heshima zao kwenye jamii