Msaada: Television yangu inabadili channels yenyewe, nibonyeze wapi au nifanyaje tatizo liishe?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi.

Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu).

Hivyo, mwenye kuelewa naomba anielekeza cha kufanya kwani inawezekana kuna wengine walishakumbana na tatizo kama hili na wakalitatua.

Msaada please.
 
Ikague remote sehemu ya kubadilishia channel
 
Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi.

Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu).

Hivyo, mwenye kuelewa naomba anielekeza cha kufanya kwani inawezekana kuna wengine walishakumbana na tatizo kama hili na wakalitatua.

Msaada please.
Mkuu TV haiwezi kujibadilisha chaneli yenyewe, jaribu kuangalia king'amuzi kwasababu king'amuzi ndiyo inaongoza channel jaribu kubadili king'amuzi
 
Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi.

Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu).

Hivyo, mwenye kuelewa naomba anielekeza cha kufanya kwani inawezekana kuna wengine walishakumbana na tatizo kama hili na wakalitatua.

Msaada please.
Pole sana, jirani yako ana Samsung iko the same direction na tv yako, akibadili kwake, inabadili na kwako, hivyo change the direction ya TV yako tatizo litaisha
P
 
Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi.

Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu).

Hivyo, mwenye kuelewa naomba anielekeza cha kufanya kwani inawezekana kuna wengine walishakumbana na tatizo kama hili na wakalitatua.

Msaada please.

Kama unaishi dar, panda gari ya Kawe, shuka stand ya kawe, ulizia kwa Mwamposa, mpe aiombee
 
Nadhani mtafute fundi akuangalizie maana shida inaweza kuwa button zake vumbi na unyevu zimestack ni za kusafisha au kubadilisha zile button zilizoko kwenye tv au kwenye decoder sio ishu remote hiyo ni hardware
 
Unachopaswa kujua ni kuwa TV haijibadilishi Channel. Bali kisimbuzi.

Fanya yafuatayo:
1. Geuza king'amuzi chako ukishaweka channeli unayoitaka. Au chomoa betri ya remote ya king'amuzi chako. Hii itakusaidia isijibadilishe. Kama itaendelea kubadilika basi kuna mtu wa jirani mwenye remote sawa na ya ile ya king'amuzi chako.

2. Kama haitojibadilisha basi ni remote yako ndiyo yenye changamoto. Nunua nyingine au rekebisha iliyopo.
 
Mimi umenichanganya. Tv inabadili channel kwan tv si inachukua video kutoka kwenye king'amuzi?!
 
Peleka wakasafishe rimot kwa fundi na solvent, ikigoma peleka tv ikasafishwe vile vitufe vya kuwashiawashia na solvent
 
Back
Top Bottom