Msaada: Television yangu inabadili channels yenyewe, nibonyeze wapi au nifanyaje tatizo liishe?

Hicho ni king'amuzi cha Azam. Hapo huwezi solve chochot zaidi zaid disconnect kingamuzi wapelekee dealer andaa kama 30-40 ugonjwa huo huwa unakera kwel kwel
 
Dah! Watu wanasema kabisa tv inahusika kwenye tatizo. Ni sawa useme gari linajibadilisha gia lenyewe halafu mtu aseme tatizo ni kwenye tairi. Au cursor inatembeb yenyewe halafu mtu aseme tatizo ni monitor.

Hapo mchawi ni aidha king'amuzi au remote.
Ili kumjua mchawi kati ya hawa, toa betri kwenye remote.
Isipojibadilisha channel tunajua remote ndio mchawi wetu na inabidi isafishwe.
Ikijibadilisha, basi mchawi atakuwa ni kingamuzi, kirekebishwe.
 
Nimetoa betri tatizo liko pale pale. kesho nitaenda kwa fundi mmoja anisaidie maana ni kero kabisa.
 
Dah! Watu wanasema kabisa tv inahusika kwenye tatizo. Ni sawa useme gari linajibadilisha gia lenyewe halafu mtu aseme tatizo ni kwenye tairi. Au cursor inatembeb yenyewe halafu mtu aseme tatizo ni monitor.

Hapo mchawi ni aidha king'amuzi au remote.
Ili kumjua mchawi kati ya hawa, toa betri kwenye remote.
Isipojibadilisha channel tunajua remote ndio mchawi wetu na inabidi isafishwe.
Ikijibadilisha, basi mchawi atakuwa ni kingamuzi, kirekebishwe.
Acheni kukremu watz sio tv zotezinatumia hivyo ving'amuzi, ziku gizi digital tv ni nyingi sana wapo watu wanatumia digital tuner ndani ya tv mfano halisi ni zile tv za startimes au hata azam kila uchwao wanatangaza camcard, kuna tv zina sehemu ya smart card kabisa, so tv inaweza ikafanya hivyo
 
Kujua kama remote inajiminya minya, weka on camera ya simu halafu kile kioo / kitaa cha remote elekeza kwenye jicho la camera, ukiona kinawaka bila kubonyezwa button ujue inajiminya na ukiina hakiwaki ila mpaka wewe ubonyeze basi remote haina tatizo
 
Acheni kukremu watz sio tv zotezinatumia hivyo ving'amuzi, ziku gizi digital tv ni nyingi sana wapo watu wanatumia digital tuner ndani ya tv mfano halisi ni zile tv za startimes au hata azam kila uchwao wanatangaza camcard, kuna tv zina sehemu ya smart card kabisa, so tv inaweza ikafanya hivyo
 
King'amuzi hicho bila shaka ni cha azama maana nina jamaa yangu analo hilo tatizo kwa muda mrefu sasa.ameambiwa akirudishe apewe kingine
 
TV haina tatizo bali watumiaji wa tv (wakati haupo)watakua wameiset iwe hivyo ili kuwakumbusha kuangalia vipindi wavipendavyo
 
Back
Top Bottom