davejillaonecka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 697
- 749
Hicho ni king'amuzi cha Azam. Hapo huwezi solve chochot zaidi zaid disconnect kingamuzi wapelekee dealer andaa kama 30-40 ugonjwa huo huwa unakera kwel kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ya kotaz hayaPole sana, jirani yako ana Samsung iko the same direction na tv yako, akibadili kwake, inabadili na kwako, hivyo change the direction ya TV yako tatizo litaisha
P
Acha bhangi kijanaMfukuze tu huyo kijana mdogo wa mke wako akajitegemee. Mda wote anashinda na rimoti tu hapo sofani sebuleni. Yeye ndo tatizo.
Nimetoa betri tatizo liko pale pale. kesho nitaenda kwa fundi mmoja anisaidie maana ni kero kabisa.Dah! Watu wanasema kabisa tv inahusika kwenye tatizo. Ni sawa useme gari linajibadilisha gia lenyewe halafu mtu aseme tatizo ni kwenye tairi. Au cursor inatembeb yenyewe halafu mtu aseme tatizo ni monitor.
Hapo mchawi ni aidha king'amuzi au remote.
Ili kumjua mchawi kati ya hawa, toa betri kwenye remote.
Isipojibadilisha channel tunajua remote ndio mchawi wetu na inabidi isafishwe.
Ikijibadilisha, basi mchawi atakuwa ni kingamuzi, kirekebishwe.
Kwa hiyo maana yake hapo tatizo ni king'amuziNimetoa betri tatizo liko pale pale. kesho nitaenda kwa fundi mmoja anisaidie maana ni kero kabisa.
Acheni kukremu watz sio tv zotezinatumia hivyo ving'amuzi, ziku gizi digital tv ni nyingi sana wapo watu wanatumia digital tuner ndani ya tv mfano halisi ni zile tv za startimes au hata azam kila uchwao wanatangaza camcard, kuna tv zina sehemu ya smart card kabisa, so tv inaweza ikafanya hivyoDah! Watu wanasema kabisa tv inahusika kwenye tatizo. Ni sawa useme gari linajibadilisha gia lenyewe halafu mtu aseme tatizo ni kwenye tairi. Au cursor inatembeb yenyewe halafu mtu aseme tatizo ni monitor.
Hapo mchawi ni aidha king'amuzi au remote.
Ili kumjua mchawi kati ya hawa, toa betri kwenye remote.
Isipojibadilisha channel tunajua remote ndio mchawi wetu na inabidi isafishwe.
Ikijibadilisha, basi mchawi atakuwa ni kingamuzi, kirekebishwe.
Acheni kukremu watz sio tv zotezinatumia hivyo ving'amuzi, ziku gizi digital tv ni nyingi sana wapo watu wanatumia digital tuner ndani ya tv mfano halisi ni zile tv za startimes au hata azam kila uchwao wanatangaza camcard, kuna tv zina sehemu ya smart card kabisa, so tv inaweza ikafanya hivyo