Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Flat screen ya kisasa kabisa.Ni ya kivhogo?
Dr Kigwangala atakuja kuikaguaFlat screen ya kisasa kabisa.
Mkuu TV haiwezi kujibadilisha chaneli yenyewe, jaribu kuangalia king'amuzi kwasababu king'amuzi ndiyo inaongoza channel jaribu kubadili king'amuziKama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi.
Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu).
Hivyo, mwenye kuelewa naomba anielekeza cha kufanya kwani inawezekana kuna wengine walishakumbana na tatizo kama hili na wakalitatua.
Msaada please.
Pole sana, jirani yako ana Samsung iko the same direction na tv yako, akibadili kwake, inabadili na kwako, hivyo change the direction ya TV yako tatizo litaishaKama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi.
Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu).
Hivyo, mwenye kuelewa naomba anielekeza cha kufanya kwani inawezekana kuna wengine walishakumbana na tatizo kama hili na wakalitatua.
Msaada please.
Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi.
Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu).
Hivyo, mwenye kuelewa naomba anielekeza cha kufanya kwani inawezekana kuna wengine walishakumbana na tatizo kama hili na wakalitatua.
Msaada please.
Pole sana, jirani yako ana Samsung iko the same direction na tv yako, akibadili kwake, inabadili na kwako, hivyo change the direction ya TV yako tatizo litaisha
P
Nakazia.Ikague remote sehemu ya kubadilishia channel
Channel zinabadilika bila kugusa king'amuzi.Mimi umenichanganya. Tv inabadili channel kwan tv si inachukua video kutoka kwenye king'amuzi?!
Mfukuze tu huyo kijana mdogo wa mke wako akajitegemee. Mda wote anashinda na rimoti tu hapo sofani sebuleni. Yeye ndo tatizo.Channel zinabadilika bila kugusa king'amuzi.
Fanyia kazi ushauri huu halafu utupe mrejeshoPole sana, jirani yako ana Samsung iko the same direction na tv yako, akibadili kwake, inabadili na kwako, hivyo change the direction ya TV yako tatizo litaisha
P