Msaada,tofauti ya Sport light Vs fog light

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Ndg,Members wa JF Garage.
Nilipata usumbufu usiotarajiwa Mjini Moshi,kutokana na gari langu kuwa na Fog lights na kulazimishiwa kulipa fine kana kwamba ni spot light.
Naomba wataalamu humu wanisaidie kufahamu kama nilionewa kulipa Fine au walikuwa sahihi,maana Fog ligh zimekuja na gari sikuziweka mimi.
 
1) Mostly Fog Lights huja na Gari
v/s
Sport Lights hua ni za kuongezea mwenyewe unless kama umeagiza sport car designed from Japan.

2) Fog Light ukizitoa linabaki tundu ambalo unaona kabisa pale ilitakiwa kukaa taa
v/s
Sport Lights hata ukizitoa hutogundua kama kuna upungufu kama gari hukuwahi kuiona mwanzo

Mind that Kuna gari hua hazijagi na Fog light, yaani hazikuwekwa fog lights toka zilipotengenezwa. Mfano ni hizi Mark X tulizozioea. Sasa ili kupendezesha, wamiliki wengi huweka vile vitaa vyembamba vyeupe kwenye Bampa la mbele mahali ambapo kwa gari za aina zingine hua inakaa Fog Light. Sasa unaweza ukanunua showroom waekuwekea hivyo vitaa ukadhani ni Fog Light kumbe sivyo.
Mark X.jpg
 
View attachment 461323
SIO kweli mkuu mark x ina fog light .ukitaka kulijua hilo au kulifaham hilo nifafanulie hizo taa hapo kwenye picha moja baada ya nyingine au weka picha ya switch ya kuwashia taa utaona kuna option ya kuwasha fog lamp??

na kuna gari huwa zinakuja na taa hizo zote spot car na fog lamp.

in short hapo mlikutana wote hamna mwenye uelewa mpiga fine na mpigwa fine.ningekuwa mm tungekesha tatizo wa bongo askari wanatuonea kwa kuwa hatujui na kuzitambua sheria na haki zetu.sasa wakikutana na gari ambayo ina mpaka spot light sijui itakuwaje??
 
mkuu gari yako ni aina gani?? hapo lazima walikuokota tuu.tatizo hata hawa trafic wetu ufaham nao sifuri wanafanya kazi kwa mihemuko.
Ndg,Members wa JF Garage.
Nilipata usumbufu usiotarajiwa Mjini Moshi,kutokana na gari langu kuwa na Fog lights na kulazimishiwa kulipa fine kana kwamba ni sport light.
Naomba wataalamu humu wanisaidie kufahamu kama nilionewa kulipa Fine au walikuwa sahihi,maana Fog ligh zimekuja na gari sikuziweka mimi.
 
Leo maeneo ya Tabata nimekuta maroli yenye taa za sport yakifunguliwa taa hizo kwa usimamiz wa police
 
Ndg,Members wa JF Garage.
Nilipata usumbufu usiotarajiwa Mjini Moshi,kutokana na gari langu kuwa na Fog lights na kulazimishiwa kulipa fine kana kwamba ni sport light.
Naomba wataalamu humu wanisaidie kufahamu kama nilionewa kulipa Fine au walikuwa sahihi,maana Fog ligh zimekuja na gari sikuziweka mimi.

= spotlight

Watu wengi hukosea hilo. Fanya editing ya post yako.
 
SIO kweli mkuu mark x ina fog light .ukitaka kulijua hilo au kulifaham hilo nifafanulie hizo taa hapo kwenye picha moja baada ya nyingine au weka picha ya switch ya kuwashia taa utaona kuna option ya kuwasha fog lamp??

na kuna gari huwa zinakuja na taa hizo zote sport car na fog lamp.

in short hapo mlikutana wote hamna mwenye uelewa mpiga fine na mpigwa fine.ningekuwa mm tungekesha tatizo wa bongo askari wanatuonea kwa kuwa hatujui na kuzitambua sheria na haki zetu.sasa wakikutana na gari ambayo ina mpaka sport light sijui itakuwaje??

= spotlight
 
1) Mostly Fog Lights huja na Gari
v/s
Sport Lights hua ni za kuongezea mwenyewe unless kama umeagiza sport car designed from Japan.

2) Fog Light ukizitoa linabaki tundu ambalo unaona kabisa pale ilitakiwa kukaa taa
v/s
Sport Lights hata ukizitoa hutogundua kama kuna upungufu kama gari hukuwahi kuiona mwanzo

Mind that Kuna gari hua hazijagi na Fog light, yaani hazikuwekwa fog lights toka zilipotengenezwa. Mfano ni hizi Mark X tulizozioea. Sasa ili kupendezesha, wamiliki wengi huweka vile vitaa vyembamba vyeupe kwenye Bampa la mbele mahali ambapo kwa gari za aina zingine hua inakaa Fog Light. Sasa unaweza ukanunua showroom waekuwekea hivyo vitaa ukadhani ni Fog Light kumbe sivyo.
View attachment 461323

= spotlight
= spotlight
= spotlight
= haziji
 
Kweli nilikua sijui kama ni spot, na sio sport,
Chukua Credit zako. But nini maana yake??

spot·light
ˈspätˌlīt/
noun
  1. 1.
    a lamp projecting a narrow, intense beam of light directly onto a place or person, especially a performer on stage.
verb
  1. 1.
    illuminate with a spotlight.
    "the dancers are spotlighted from time to time throughout the evening"
 
ni kwanini hazitakiwi hizi taa, madhara yake ni nini
 
Hahahahaaaa kweli mkamatwa na mkamata wote nadhani walikua karibu na zero.
 
ni kwanini hazitakiwi hizi taa, madhara yake ni nini
TATIZO madereva wengi kuzitumia ndivyo sivyo na kusababisha ajari san an ausumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara,mfano unakutana na kibajaji kimejazaa taa kama kumi hivi zote zinawaka mwanga mkali kama full huwezi pishana naye kwa amani unaweza tumbukia mtaroni barabar huioni
 
spot·light
ˈspätˌlīt/
noun
  1. 1.
    a lamp projecting a narrow, intense beam of light directly onto a place or person, especially a performer on stage.
verb
  1. 1.
    illuminate with a spotlight.
    "the dancers are spotlighted from time to time throughout the evening"
Asante kwa kuliweka sawa
 
Back
Top Bottom