Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Ndg,Members wa JF Garage.
Nilipata usumbufu usiotarajiwa Mjini Moshi,kutokana na gari langu kuwa na Fog lights na kulazimishiwa kulipa fine kana kwamba ni spot light.
Naomba wataalamu humu wanisaidie kufahamu kama nilionewa kulipa Fine au walikuwa sahihi,maana Fog ligh zimekuja na gari sikuziweka mimi.