EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatumika kwa ajili gani mkuu? Mtoto ana shida ya ngozi?TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
haina common name? imekaa kihasara hasara hivi kwa jina hilo
Yeah itakuwa, Kuna mtu kaambiwa na dr wake atafute hiyo dawa. Sasa kaisha tafuta sana kaikosa ndio kaomba nimtafutie.Inatumika kwa ajili gani mkuu? Mtoto ana shida ya ngozi?
Kama ikikosekana hiyo, mwambie atumie salicylic acid mkuu. Hii nayo inasaidia sana.Yeah itakuwa, Kuna mtu kaambiwa na dr wake atafute hiyo dawa. Sasa kaisha tafuta sana kaikosa ndio kaomba nimtafutie.