Umeonaeeee hata mm Naona Wat hawamsaidii bali wanafurahia watanzania tuna roho mbaya sana yan unafiki umetujaaHadi sasa hivi sijaona mwenye hoja za kisheria kwa lengo la kukusaidia ila wanajibu kwa mihemko yao tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda CMA hao ndo wanahusika na migogoro kazini,utapata muongozo sahihi.Mkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Komaeni ivoivo wachacheTulienda wafanyakazi wote, ila kadri siku zilivyokuwa zinazidi kwenda tulibaki wachache. Ahsante kwa ushauri mkuu
Heri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.
Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.
Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Kwa namna nilivyomuelewa mimi ishu ilikuwa kuendelea na kibarua kuhusu stahiki hajazungumzia but huyu @ tycoonff amekaribia kunishawishi kwakuwa ni kampuni ya watu na sio serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu Kesho nitafanya hivyoNenda CMA hao ndo wanahusika na migogoro kazini,utapata muongozo sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Asante kwa ushauri juu yake, pia na sisi tunajifunza kupitia makosa... Good explainations.Swala Sio kampun ya Wat sheria za utumish zinagusa kote kote Huwez mwachisha mt kaz all over suddenly lazma umwandalie stahik zake pia umpe taarifa mapema ili ajiandae wewe wapeleke ulipowapeleka mwazo state vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata mkuu!! Nitafanya hivyo. Na bahati nzuri Kati barua alizopewa aliambiwa kusiwepo na mabadiliko yoyote kwa wafanyakazi wote ya kupunguza au kufukuza wafanyakazi baada ya kuahidi kufanyia kazi malamiko yote katika mikataba mipya January.Swala Sio kampun ya Wat sheria za utumish zinagusa kote kote Huwez mwachisha mt kaz all over suddenly lazma umwandalie stahik zake pia umpe taarifa mapema ili ajiandae wewe wapeleke ulipowapeleka mwazo state vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasiasa wanawadanganya mnavimba vichwa mna haribu mahusiano kazini unategemea Nini...... pambana na hali yakoKwahiyo hata zile order za serikali hazina nguvu yoyote??
Ni bahati mbaya ukawa hujui kwenye sector binafsi Kuna unyonyaji kiasi ganiWanasiasa wanawadanganya mnavimba vichwa mna haribu mahusiano kazini unategemea Nini...... pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hakuna msaada wowote maana mkataba umeisha mwajiri ana hiari ya kumuongezea mkataba au kustisha hapa hafungwi na upande wowote labda Kama ana madai ana hoja lakini kuendelea hakupo na mjuaji Kama huyu hata Mimi namtimua.Hadi sasa hivi sijaona mwenye hoja za kisheria kwa lengo la kukusaidia ila wanajibu kwa mihemko yao tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Case yako kama ipo hivyo ni very simple nenda bila kuogopa sema kwanzia mwanzo mambo yalivyokuwa Mpka mnafukuzwa simamia hak yako bro no one will stand for you. Unajua mt anaweza ona simple coz haijamtokea but unakuta mt unategemewa na unafukuzwa kaz gafla shuka nae jumla jumla hakuna KS mwajir wala mafi apaaa.Nimekupata mkuu!! Nitafanya hivyo. Na bahati nzuri Kati barua alizopewa aliambiwa kusiwepo na mabadiliko yoyote kwa wafanyakazi wote ya kupunguza au kufukuza wafanyakazi baada ya kuahidi kufanyia kazi malamiko yote katika mikataba mipya January.
Ndiyo maana nimekuja kwenu mtupe mwangaSidhani kama ni kweli!
Yaani umlazimishe Mwajiri asifukuze mtu?Tangu lini?
Kama hana hela?Retrenchment is inevitable!
Haki ipo ila retrenchment pia ipo,maana the bottomline ni jee operations zinaweza kulipa?
Na pia uwepo wenu unawezakua detrimental to the company existence!
Akiprove kua nyie ni threat to his company ana haki ya kiwafutilia mbali!
kumbuka amasemea mwajir alipewa barua asiwafikuze kisa kudai haki zao hapo mazingira yanambana mwajir bora angemwongezea mkataba then ukiisha Ndo amfireHapa hakuna msaada wowote maana mkataba umeisha mwajiri ana hiari ya kumuongezea mkataba au kustisha hapa hafungwi na upande wowote labda Kama ana madai ana hoja lakini kuendelea hakupo na mjuaji Kama huyu hata Mimi namtimua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok sawa na bahati nzuri nakala ya barua zote tunazo!!Case yako kama ipo hivyo ni very simple nenda bila kuogopa sema kwanzia mwanzo mambo yalivyokuwa Mpka mnafukuzwa simamia hak yako bro no one will stand for you. Unajua mt anaweza ona simple coz haijamtokea but unakuta mt unategemewa na unafukuzwa kaz gafla shuka nae jumla jumla hakuna KS mwajir wala mafi apaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataba wako umeisha kwa hiyo mwajiri ana hiari kutokupa mkataba au kukupa mkataba chochote anacho amua hakimfungi na lazima aangalie ufanis na utendaji Bora watu Kama wewe ni migogoro tu ya kusababisha maandamano Kila mara nakusababisha utendaji kazini kuzorota hata Mimi siwezi kukuajiri mtu wa aina yako labda nisikufahamuNa kwenye kupunguza watu si lazima Kuna taratibu kisheria uwa zinatumika?? Kwanini sisi na siyo wengine??
Nimekupata mkuu!! Nitafanya hivyo. Na bahati nzuri Kati barua alizopewa aliambiwa kusiwepo na mabadiliko yoyote kwa wafanyakazi wote ya kupunguza au kufukuza wafanyakazi baada ya kuahidi kufanyia kazi malamiko yote katika mikataba mipya January.
Hakuna tatizo hapo umekufa kwa ajili ya wengine,,ubarikiweHeri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.
Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.
Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada