Hahahah jamaa kawanyoosha, hii ni sawa na chuoni ukijifanya mjuaji ukagombana na management ya chuo hawakusemeshi, wanakutumia mwalimu mmoja tu kimya kimya anakuvizia end of semester anakunyonga na Sapu. Ukienda kusapua anakutia tena nyavuni hahah una carry over anakufagia tena, unajikuta mwisho wa siku unarudia semester ama una disco bila umbeya yani.Mnajitiaga ujuaj kwenye makampuni ya watu sheria mnazijua sa mjiajir jaman na ujuaj wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sio mjuzi sana lakini hapo sioni ni sehem gani mnaweza kumbana mwajiri maana hajawafukuza bali ni mkataba umeishaMkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Kazi ya mkataba, mkataba ukiisha ni bye bye...hakuna cha taratibu wala nn...hao jamaa imekula kwao na ujinga waoNa kwenye kupunguza watu si lazima Kuna taratibu kisheria uwa zinatumika?? Kwanini sisi na siyo wengine??
pole Mkuu hapo una haki kama alikujulisha miez 3 kabla kua anakushukur na mkatab ukiisha hata kuongeza,lkn kama alifanya hizo yuko sawa we nenda kachukue Fedha zako kwenye mfuko Wa ifadhi ya jamii uendelee na maishaHeri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.
Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.
Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Kwa waziri wa kazi vipi?
Point na ndo hicho tuliokuwa tunapigania mkuuKama una marupurupu yako hukupewa fuatilia hayo ukafanye mishe zingine,.nadhani kuwa na mikataba ya hali bora mahali pa kazi ni muhimu sana hasa hizi sehemu binafsi...
Mkataba umeisha mkuu.Hujafukuzwa kazi.Kwahiyo hata zile order za serikali hazina nguvu yoyote??
Ni bahati mbaya mkataba wenyewe mungeuona mngekubaliana nami kulikuwa na haha ya kufatilia hili JamboYaani
Nikuajiri Mimi, Nikulipe Mshahara Mimi, Alafu Ukanishtaki.
Wallahi Lazima NIKUTIMUE
Huwezi kuleta KIBESI na UJUAJI kwenye investment ya MTU.
Kiuhalisia,
Ukishakua Mwajiliwa, maana yake wee ni MTUMWA tayari kwa Boss wako.
Kamwe huwezi ipata haki dhidi ya BOSS wako.
Ukishakua Mwajiliwa,
Utaishi na Kutenda kotokana na Maagizo ya Boss wako.
OTHERWISE,
Fungua tu investment YAKO Uishi na Kutenda Utakavyo.
**Ukweli mchungu**
Sent using Jamii Forums mobile app
Bradha hicho ndo ninachokitaka mkuu uwezekano upoje was kupata hizo stahiki zetu??Mkataba umeisha mkuu.Hujafukuzwa kazi.
Hapo cha kupambania ni hizo stahiki zenu zilizobinywa mkiwa kwenye ajira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Solution ni Kujiajiri tu.Ni bahati mbaya mkataba wenyewe mungeuona mngekubaliana nami kulikuwa na haha ya kufatilia hili Jambo
Hajapunguza hapo, hata mkishtaki atasema haridhishwi na utendaji wenu na ameamua asiwaongezee mkataba. Ni haki yake kisheriaMkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Na mm nishamwambia,Unajitia mjuaji kwenye kampuni ya mtu.. Sasa nenda ukaajiriwe na hiyo sheria iliyokutia ujuaji..!! Ujifunze, next time uwe na adabu..
Sio sekta binafsi tu,Ni bahati mbaya ukawa hujui kwenye sector binafsi Kuna unyonyaji kiasi gani
Hajafukuzwa huyo, Mkataba wake umeisha.Case yako kama ipo hivyo ni very simple nenda bila kuogopa sema kwanzia mwanzo mambo yalivyokuwa Mpka mnafukuzwa simamia hak yako bro no one will stand for you. Unajua mt anaweza ona simple coz haijamtokea but unakuta mt unategemewa na unafukuzwa kaz gafla shuka nae jumla jumla hakuna KS mwajir wala mafi apaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Unyonyaji hapo mkuu,Mkuu kwa hiyo wewe unaona vyema makampuni ya kigeni kuja na kutunyonya kutufanyisha kazi Kama watumwa??