Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

Usitoe hiyo mimba,nimemuona kwenye maono kuwa ni bonge moja la msomI.

Akili za usiku
 
Walau thread hii unajifunza kitu cha maana asante mleta mada kwa ushauri lakini pia asante sana kwa hekima ya Sky Eclat ...Mbitiyaza na wengine

Ushauri:Kama huna cha kuchangia wakati mwingine vyema tuu ukapita kimya...watu kibao wanasaidiwa mambo makubwa humu halafu wewe unakuja unaacha crap hapa...aibu,labda kama unataka kwenda chuo nk tunaweza kukuelewa...basi jifunze kwa wengine

Mkuu usiitoe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We blow out uone,acha kabisa!! kwan we ndo wa kwanza,cha msingi nenda na mkeo kwa MTU wa counselling maana anaonekana mwogha,na wew usioneshe kucomplement regrets zake maana utaendelea kumtia wasiwasi komaa hivo hivo kuchkulia kawaida,Usiue kijana Ile Utajutia maisha yako yote ni bora ulee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hali kama hiyo, ni bora usionyeshe kutoshtuka japo naamini wanaume tuna roho ngumu kidogo, wakati analia wewe msogelee, mbembeleze, mkumbatie, mlaze kifuani kwako na mfute machozi Utaona anaacha kulia na kuamini kuwa uko katika kipindi hicho anachokiona kigumu.


Inabidi umwelewe kuwa kwa kipindi hiki anaweza kuwaza sana, kuzuia hili tatizo mchukue mwende kwa daktari awashauri wote wawili, hii itamsaidia kisaikolojia kukaa sawa!

Pia na wewe inabidi uwe nae bega kwa bega! Jaribu kubadili hata ratiba yako ya kurudi nyumbani, hiyo habari ya kurudi saa 2 uck iache na urudi mapema iwezekanavyo! Kaa naye mda mwingi! Pia sio mbaya kama baadhi ya vitu vidogo vidogo ukiwa unamsaidia japo si mara kwa mara! (Uwe mwangalifu lakini isije ikajenga mazoea sugu).


Mkimwachisha mtoto nashauri kama wazazi wenu wapo basi mpelekeni huko kwa mda ili kumpunguzia kazi ya kulea mtoto na ujauzito! Pia hii mda mwingine huwa ni njia nzuri ya kupunguza kuugua ugua kwa watoto ( niliwahi kuona hii ikiwasaidia wengine).
 
Hivi watu mnaozungumzia Condom ndani ya ndoa Mnadhani ni kitu chepesi eeh! Kwanza hata kukumbukwa huwa haikumbukwi kama ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata ikikumbukwa bado umuhimu wake haupo, labda kwa sababu kama za maambukizi!
 
Asante ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nyetto tena?
 
Asante mkuu nimekuelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lea tu kaka acha uuaji
 
Mapacha wa nje [emoji23][emoji23][emoji23]

Msitoe ujauzito jamani, anaweza endelea kumnyonyesha mtoto mpaka 7months pregnant, ale vizuuuriiii tu na husimpe bibie stress, mpe msaada wa kutosha pia
 

Mimba hainasi bahati mbaya
Badilisha kauli yako
Yaani unataka atoe mimba ww bwege kweli
 
usitoe mimba mkuu mi na ndugu yangu ninae mfatia tumepishana miezi 3, aliacha kunyonya akiwa na miezi 6 tumesoma shule moja toka wadogo. Tupo karibu na tunapenda sana, kishule imetusaidia maana baba alipenda sana kutupambanisha (japo mimi nilikua namzidi mara nyingi), Mungu akitusaidia mwakani tutagraduate chuo. Kipindi nazaliwa mimi baba alikuwa amesimamishwa kazi ila alipambana labda na yeye alishauriwa nitakuja kuwa rais ndo nasubiri kura zenu 2040. kila la kheri mkuu usitoe mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…