Msaada tutani, CCM mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?

Msaada tutani, CCM mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?

Samia atawezq tena sana tu ila angekuwa yule bwana tungekwisha
make it make sense.

Huyo Trump si ameiga kutoka kwa yule bwana bwana🤣🤣🤣🤣ww tu haaira zako, three years mmm

Trump has an affixiation na watu wenye Vifua. Na uhakika ukitafuta vizuri mitandaoni, alimsifia yule bwana. acha mapovu mkulu
 
Jpm kaacha deni la taifa trillion 68 wakati alikuta trilion 40 tu. Halafu alikuwa anakopa kimya kimya na kutipiga fix kwamba anatumia hela za ndani
Mitano ya Magu, na mitano ya aliyepo nani kakopa zaidi na thamani ya kilichokopwa na matumizi/ KAZI vina uwiano?

Karibu 🙏
 
Ccm warudi kwenye drawing board kumpata mtu sahihi, mwenye bongo inayochemka, sio huyu anayekimbia maprofesa kujadili mustakabali wa elimu yetu... suti nyeusi waingie kazini kuokoa wananchi.
 
Mitano ya Magu, na mitano ya aliyepo nani kakopa zaidi na thamani ya kilichokopwa na matumizi/ KAZI vina uwiano?

Karibu 🙏
Tofauti yao ni kwamba Samia ni transparent. Jpm hakutaka mtu yeyote ajie maovu yake
 
Ccm warudi kwenye drawing board kumpata mtu sahihi, mwenye bongo inayochemka, sio huyu anayekimbia maprofesa kujadili mustakabali wa elimu yetu... suti nyeusi waingie kazini kuokoa wananchi.
Linapokuja suala la maslahi mapana ya nchi, vyama tuwwke pembeni,

Msaada tutani🙏
 
CCM hawana mgombea wa maana wa kushindan na Wapinxani sema dora inawasaidia kuiba kura
Kama Dola itaweza kusaidia CCM kuiba uchaguzi ikashindwa kusaidia Nchi kuiba Uchumi kukabiliana na mabadiliko yajayo kufuatia ujio wa Trump, wanajidanganya.

Msaada tutani 🙏
 
Linapokuja suala la maslahi mapana ya nchi, vyama tuwwke pembeni,

Msaada tutani🙏
Hakika,machawa hawatakuelewa... think tanks za SSH na akina mwijaku,Steve Nyerere, maulid kitenge et all
 
Ukisoma ripoti ya DOGE wanasema fedha za miradi zilitapanywa katika matumizi ambayo hayakukusudiwa hivyo rushwa ilikuwa kiwango cha juu.

Usikute pesa za miradi ndio majizi ya CCM yalienda kununua yale mabasi na hizo billboard naambiwa ziko barabarani mara mama kafanya hivi mara kafanye vile na kulipa machawa.

Wanafanya scrutiny kwa siku 90 naamini kuna mimgine itarudi ila mingine ndio kwaheri .
 
Ukisoma ripoti ya DOGE wanasema fedha za miradi zilitapanywa katija matumizi ambayo hayakukusudiwa hivyo rushwa ilikuwa kiwango cha juu.

Usikute pesa za miradi ndio majizi ya CCM yalienda kununua yale mabasi na hizo billboard naambiwa ziko barabarani mara mama kafanya hivi mara kafanye vile na kulipa machawa.

Wanafanya scrutiny kwa siku 90 naamini kuna mimgine itarudi ila mingine ndio kwaheri .
Trump anataka report mezani!
 
Hellow Tanganyika,

USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk

Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika.

Tujiulize yafuatayo;

1. CCM tunaye mgombea KITI kikuu awezaye kuwasaidia wananchi kujitegemea, kuishi bila kutegemea misaada Toka nje?

2. Mnaye mgombea anayeweza kufidia upungufu wa budget utakaoondolewa na marekani na World bank Kwa Nchi yetu Kwa kujifunga mkanda kubana matumizi ya serikali?

3. Mnaye mgombea anayeweza kuwatisha wezi wa pesa za umma Ili makusanyo yatoshe maana misaada hamna?

Muda wa kufanya mabadiliko Bado upo, hamjachelewa,

Wakati mkiendelea kujibu maswali hayo, wananchi tunajiuliza,

1. Vyama vya upinzani, je vinaweza kutuletea mgombea ataeendana na mabadiliko yanayokwenda kuipata Dunia?

Niko pale Nasubiri kuelimishwa.

Karibuni 🙏
Umeibua hoja ya msingi sana.
 
Kama Dola itaweza kusaidia CCM kuiba uchaguzi ikashindwa kusaidia Nchi kuiba Uchumi kukabiliana na mabadiliko yajayo kufuatia ujio wa Trump, wanajidanganya.

Msaada tutani [emoji120]
Hawawezi kua upande wa wananchi kwa sababu hao wakubwa wapo kwenye payroll nzito.
 
Rais Samia ni Rais pekee wa kushukuriwa kwa kuweza kupitisha sheria ya bima ya afya kwa wote.
Jambo hilo pekee limeshamfanya awe mtu sahihi kwa nyakati sahihi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Inafikirisha sana hoja zako mleta mada ila nyakati hazidumu, na hili nalo tutavuka.
 
Back
Top Bottom