make it make sense.Samia atawezq tena sana tu ila angekuwa yule bwana tungekwisha
tozo ya kukanyaga ardhi ya TzMwigulu atakuja na tozo ya viatu sasa maana kwingine kote amemaliza
Mitano ya Magu, na mitano ya aliyepo nani kakopa zaidi na thamani ya kilichokopwa na matumizi/ KAZI vina uwiano?Jpm kaacha deni la taifa trillion 68 wakati alikuta trilion 40 tu. Halafu alikuwa anakopa kimya kimya na kutipiga fix kwamba anatumia hela za ndani
Tofauti yao ni kwamba Samia ni transparent. Jpm hakutaka mtu yeyote ajie maovu yakeMitano ya Magu, na mitano ya aliyepo nani kakopa zaidi na thamani ya kilichokopwa na matumizi/ KAZI vina uwiano?
Karibu 🙏
Linapokuja suala la maslahi mapana ya nchi, vyama tuwwke pembeni,Ccm warudi kwenye drawing board kumpata mtu sahihi, mwenye bongo inayochemka, sio huyu anayekimbia maprofesa kujadili mustakabali wa elimu yetu... suti nyeusi waingie kazini kuokoa wananchi.
Kama Dola itaweza kusaidia CCM kuiba uchaguzi ikashindwa kusaidia Nchi kuiba Uchumi kukabiliana na mabadiliko yajayo kufuatia ujio wa Trump, wanajidanganya.CCM hawana mgombea wa maana wa kushindan na Wapinxani sema dora inawasaidia kuiba kura
Hakika,machawa hawatakuelewa... think tanks za SSH na akina mwijaku,Steve Nyerere, maulid kitenge et allLinapokuja suala la maslahi mapana ya nchi, vyama tuwwke pembeni,
Msaada tutani🙏
Trump anataka report mezani!Ukisoma ripoti ya DOGE wanasema fedha za miradi zilitapanywa katija matumizi ambayo hayakukusudiwa hivyo rushwa ilikuwa kiwango cha juu.
Usikute pesa za miradi ndio majizi ya CCM yalienda kununua yale mabasi na hizo billboard naambiwa ziko barabarani mara mama kafanya hivi mara kafanye vile na kulipa machawa.
Wanafanya scrutiny kwa siku 90 naamini kuna mimgine itarudi ila mingine ndio kwaheri .
Umeibua hoja ya msingi sana.Hellow Tanganyika,
USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk
Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika.
Tujiulize yafuatayo;
1. CCM tunaye mgombea KITI kikuu awezaye kuwasaidia wananchi kujitegemea, kuishi bila kutegemea misaada Toka nje?
2. Mnaye mgombea anayeweza kufidia upungufu wa budget utakaoondolewa na marekani na World bank Kwa Nchi yetu Kwa kujifunga mkanda kubana matumizi ya serikali?
3. Mnaye mgombea anayeweza kuwatisha wezi wa pesa za umma Ili makusanyo yatoshe maana misaada hamna?
Muda wa kufanya mabadiliko Bado upo, hamjachelewa,
Wakati mkiendelea kujibu maswali hayo, wananchi tunajiuliza,
1. Vyama vya upinzani, je vinaweza kutuletea mgombea ataeendana na mabadiliko yanayokwenda kuipata Dunia?
Niko pale Nasubiri kuelimishwa.
Karibuni 🙏
Ndiyotozo ya kukanyaga ardhi ya Tz
Hawawezi kua upande wa wananchi kwa sababu hao wakubwa wapo kwenye payroll nzito.Kama Dola itaweza kusaidia CCM kuiba uchaguzi ikashindwa kusaidia Nchi kuiba Uchumi kukabiliana na mabadiliko yajayo kufuatia ujio wa Trump, wanajidanganya.
Msaada tutani [emoji120]
Wataleta mpaka tozo ya kumnyandua mkeo ni swala la mda tutozo ya kukanyaga ardhi ya Tz