Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
Yupo mji gan. Kathmandu au.
 
Duh huyo mwamba nampa kongole sana Kwa kuweza kulisongesha huko Nepal.
Nepal ni nchi moja maskini sana ila wananchi wake ni poa sana wameridhika na umaskini wao
Watu wa kule wanaongoza kuuza Figo, kwa ajili ya umasikini.
 
Back
Top Bottom