Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
Duh huyo mwamba nampa kongole sana Kwa kuweza kulisongesha huko Nepal.
Nepal ni nchi moja maskini sana ila wananchi wake ni poa sana wameridhika na umaskini wao