Msaada tutani: Swali kuhusu mahusiano ya kirafiki/kijamaa kazini..

Msaada tutani: Swali kuhusu mahusiano ya kirafiki/kijamaa kazini..

Courageous are not Friends
Work, Get paid, Go home ✊🏿
 
chunga mdomo wako utakuponza, penye riziki hapakosi FITNA/MAJUNGU/CHUKI/WIVU sheikh. kabla ya kuongea neno kwa kinywa chako, mbele ya wafanyakazi wenzako, fikiri kwanza kwa kina akilini mwako ndipo uongee. linda nguna lako.
 
Back
Top Bottom