Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Havitakiwi kuzidi 1MBππ°ππ§π’ π°ππΊππ¬ππΊπ π―π²πππ’ π―π’ππ§π³π’π ππ π§π ππ©π’?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Havitakiwi kuzidi 1MBππ°ππ§π’ π°ππΊππ¬ππΊπ π―π²πππ’ π―π’ππ§π³π’π ππ π§π ππ©π’?
Ahsante.Yupo sawa
hiyo MB 2 ni maximum yaan vyeti havipaswi kuwa na capacity ya zaidi MB 2 lakini ya hapo ni sawa tu ila zingatia vionekane vyemaMimi nikiaplod vyeti vyangu vinaleta kb 200, haijafika mb 2 wanazotaka wao. Hii imekaeje wadau???. Nilipue au niende kuscan upya