MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

Havitakiwi kuzidi 1MB
 
Na vipi kuhusu application letter. Kuna mtu namfanyia maombi hpa kanitumia application letter imeandikwa kwa mkono. Vp ndo utaratibu unao takiwa ama?
 
Mimi nikiaplod vyeti vyangu vinaleta kb 200, haijafika mb 2 wanazotaka wao. Hii imekaeje wadau???. Nilipue au niende kuscan upya
hiyo MB 2 ni maximum yaan vyeti havipaswi kuwa na capacity ya zaidi MB 2 lakini ya hapo ni sawa tu ila zingatia vionekane vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…