Nakwambia hivyo sababu huo ugonjwa sijui niseme ugonjwa au nisemeje Ila ndio hivyo nna mtoto wa sister (mpwa wangu) alikua nao ulikua unamsumbua yaan ni Mwili mzima Ila Sasa hivi amepona kabisa na makovu yote yametoweka yamefutika sio wa kuambukiza hata kidogo, hauambukizi ungekua unaambukiza nahisi tungeambukizwa wengi Mimi Uncle wake ndio ningekua wa kwanza kuniambukizaKama ni scabies wanaambukiza haraka sana
Ndio ujue kwamba hapo sio bakteria wala fangasi.Huo ugonjwa hauambukizi hata kidogo mkuu yaan mtoto alionao ndio utamsumbua yeye tu watoto wengine au hata wewe unaweza umshike na umuhudumie na usikupate hata Mama yao hauwezi kumpata pamoja na kwamba anawahudumia, watoto anaweza hata kucheza nao na asiwaambukize Ila yeye tu ndio unamsumbua, sio wa kuambukiza
Hapana nimeona mdau katoa maelekezo nitaitafutaUmetumia BBE?
Ndiyo maana nikasema kama ni scabies basi wanaambukiza...mashuleni wanaambukizana sana....na madogo wangu waliambukizana pia....daktari alisema tusafishe kuanzia nguo zote mpaka magodoro....madogo walikuwa wanaamka usiku wanakaa kujikunaNakwambia hivyo sababu huo ugonjwa sijui niseme ugonjwa au nisemeje Ila ndio hivyo nna mtoto wa sister (mpwa wangu) alikua nao ulikua unamsumbua yaan ni Mwili mzima Ila Sasa hivi amepona kabisa na makovu yote yametoweka yamefutika sio wa kuambukiza hata kidogo, hauambukizi ungekua unaambukiza nahisi tungeambukizwa wengi Mimi Uncle wake ndio ningekua wa kwanza kuniambukiza
Anko mafujo 😂😂🤣Nakwambia hivyo sababu huo ugonjwa sijui niseme ugonjwa au nisemeje Ila ndio hivyo nna mtoto wa sister (mpwa wangu) alikua nao ulikua unamsumbua yaan ni Mwili mzima Ila Sasa hivi amepona kabisa na makovu yote yametoweka yamefutika sio wa kuambukiza hata kidogo, hauambukizi ungekua unaambukiza nahisi tungeambukizwa wengi Mimi Uncle wake ndio ningekua wa kwanza kuniambukiza
😂😂😂Anko mafujo 😂😂🤣
BBE siyo kali sana kwa ngozi? Kuna lotion inaitwa scabomaUmetumia BBE?
Ndio kweli huo pia upo Ila sio huu au walikua wanatoka mapele ambayo hayaponi na weusi weusi mwilini?Ndiyo maana nikasema kama ni scabies basi wanaambukiza...mashuleni wanaambukizana sana....na madogo wangu waliambukizana pia....daktari alisema tusafishe kuanzia nguo zote mpaka magodoro....madogo walikuwa wanaamka usiku wanakaa kujikuna
Ndio nini hioBBE siyo kali sana kwa ngozi? Kuna lotion inaitwa scaboma
Scaboma haifikii BBE inaponya harakaBBE siyo kali sana kwa ngozi? Kuna lotion inaitwa scaboma
Dawa flani ya maji ina harufu kali lkn inatibu harakaNdio nini hio
HayaNgoja madaktari uchwara wanaovaa milegezo waje kunishambulia hapa. Nitawanyoosha mpaka waitike abee baba.
Hawa watu ni FOOLISH, wakikariri vitini kule medical school wanageuka kuwa MADALALI WA CHANJO badala ya WATABIBU.
Mwisho wa siku kumbe ni njaa tu wanatafuta maokoto na kulisha familia zao AT THE EXPENSE OF DESTROYING PEOPLE.
Yaani nina usongo nao kweli kweli sijasahau ujinga wao wa CORONA, nawachukia kuliko kitu chochote.
Majitu yamekaa KIUDALALI DALALI tu, hawana ethics wala elimu ya uhakika. Kukariri kariri tu na kurudia rudia maneno kama MAKASUKU.
Wahi inaponya haraka...bei inachezea 3,000 hadi 4,000Hapana nimeona mdau katoa maelekezo nitaitafuta
Asanteni sana
Mmoja wa madogo wangu aliitumia hiyo ndiyo maana nimeuliza...maana kama ngazi inakuwa inawaka moto alipo applyScaboma haifikii BBE inaponya haraka
Ndio hio BBE au Scaboma?Dawa flani ya maji ina harufu kali lkn inatibu haraka
BBE ina namna ya ku dilute in terms of percentage, so concentration inakua tofauti kwa wakubwa na watoto.Mmoja wa madogo wangu aliitumia hiyo ndiyo maana nimeuliza...maana kama ngazi inakuwa inawaka moto alipo apply
Mzee usidharau taaluma za watu wamesomeshwa kwa Kodi za WananchiUtawapaka sana madawa ya ngozi lakini kumbe TATIZO LIKO NDANI YA MWILI.
Achana na wajinga hawa wanaojiita wataalamu wa afya njaa tupu, wakibinywa kidogo wanawika wanadai maokoto. Hakuna kitu pale kinachotafutwa ni SALARY.
Nenda ukawatibu watoto wako KUANZIA NDANI YA MWILI. Huku kwa nje ni MATOKEO TU.
NDANI KWANZA. MIFUMO.
BBE ( Descriptions. Benzyl benzoate is used to treat lice and scabies infestations. This medicine is believed to be absorbed by the lice and mites and to destroy them )Ndio hio BBE au Scaboma?