Msaada, Ugonjwa wa ngozi unaotesa Wanangu

Kama ni scabies wanaambukiza haraka sana
Nakwambia hivyo sababu huo ugonjwa sijui niseme ugonjwa au nisemeje Ila ndio hivyo nna mtoto wa sister (mpwa wangu) alikua nao ulikua unamsumbua yaan ni Mwili mzima Ila Sasa hivi amepona kabisa na makovu yote yametoweka yamefutika sio wa kuambukiza hata kidogo, hauambukizi ungekua unaambukiza nahisi tungeambukizwa wengi Mimi Uncle wake ndio ningekua wa kwanza kuniambukiza
 
Huo ugonjwa hauambukizi hata kidogo mkuu yaan mtoto alionao ndio utamsumbua yeye tu watoto wengine au hata wewe unaweza umshike na umuhudumie na usikupate hata Mama yao hauwezi kumpata pamoja na kwamba anawahudumia, watoto anaweza hata kucheza nao na asiwaambukize Ila yeye tu ndio unamsumbua, sio wa kuambukiza
Ndio ujue kwamba hapo sio bakteria wala fangasi.

Hao watoto ndani ya miili yao kuna MASUMU na MAUCHAFU yanayovuruga MIFUMO.

Awanyweshe juisi ya LIMAO kwa WIKI MBILI alete mrejesho hapa kama kuna pele hata moja limesalia!!

Hakuna cha sijui DERMATITIS sijui nini, utatajiwa majina yote ya KIJEREMANI, mara sijui THROMBOLISIS DERMATITOLOGY sijui nini..... Huo mwili ni UCHAFU uko ndani.
 
Nakwambia hivyo sababu huo ugonjwa sijui niseme ugonjwa au nisemeje Ila ndio hivyo nna mtoto wa sister (mpwa wangu) alikua nao ulikua unamsumbua yaan ni Mwili mzima Ila Sasa hivi amepona kabisa na makovu yote yametoweka yamefutika sio wa kuambukiza hata kidogo, hauambukizi ungekua unaambukiza nahisi tungeambukizwa wengi Mimi Uncle wake ndio ningekua wa kwanza kuniambukiza
Ndiyo maana nikasema kama ni scabies basi wanaambukiza...mashuleni wanaambukizana sana....na madogo wangu waliambukizana pia....daktari alisema tusafishe kuanzia nguo zote mpaka magodoro....madogo walikuwa wanaamka usiku wanakaa kujikuna
 
Anko mafujo 😂😂🤣
 
Ngoja madaktari uchwara wanaovaa milegezo waje kunishambulia hapa. Nitawanyoosha mpaka waitike abee baba.

Hawa watu ni FOOLISH, wakikariri vitini kule medical school wanageuka kuwa MADALALI WA CHANJO badala ya WATABIBU.

Mwisho wa siku kumbe ni njaa tu wanatafuta maokoto na kulisha familia zao AT THE EXPENSE OF DESTROYING PEOPLE.

Yaani nina usongo nao kweli kweli sijasahau ujinga wao wa CORONA, nawachukia kuliko kitu chochote.

Majitu yamekaa KIUDALALI DALALI tu, hawana ethics wala elimu ya uhakika. Kukariri kariri tu na kurudia rudia maneno kama MAKASUKU.
 
Ndio kweli huo pia upo Ila sio huu au walikua wanatoka mapele ambayo hayaponi na weusi weusi mwilini?
 
Ngoja madaktari uchwara wanaovaa milegezo waje kunishambulia hapa. Nitawanyoosha mpaka waitike abee baba.

Hawa watu ni FOOLISH, wakikariri vitini kule medical school wanageuka kuwa MADALALI WA CHANJO badala ya WATABIBU.

Mwisho wa siku kumbe ni njaa tu wanatafuta maokoto na kulisha familia zao AT THE EXPENSE OF DESTROYING PEOPLE.

Yaani nina usongo nao kweli kweli sijasahau ujinga wao wa CORONA, nawachukia kuliko kitu chochote.

Majitu yamekaa KIUDALALI DALALI tu, hawana ethics wala elimu ya uhakika. Kukariri kariri tu na kurudia rudia maneno kama MAKASUKU.
Haya
Dr Matola PhD
Uje
 
Utawapaka sana madawa ya ngozi lakini kumbe TATIZO LIKO NDANI YA MWILI.

Achana na wajinga hawa wanaojiita wataalamu wa afya njaa tupu, wakibinywa kidogo wanawika wanadai maokoto. Hakuna kitu pale kinachotafutwa ni SALARY.

Nenda ukawatibu watoto wako KUANZIA NDANI YA MWILI. Huku kwa nje ni MATOKEO TU.

NDANI KWANZA. MIFUMO.
 
Mzee usidharau taaluma za watu wamesomeshwa kwa Kodi za Wananchi
 
Back
Top Bottom