Pamoja na maelezo yako yote lakini uzoefu kuhusu mawe huna. Vito aina zote huchimbwa kwa ajili ya kutengenezwa au kuchongwa katika maumbile mbalimbali, huyo anayekwambia vinachimbwa vikiwa vimetengenezwa na wewe unaamini au unaomba kufahamishwa kama vipo. HAKUNA kitu kama hicho zaidi ya hapo utalizwa tu na muda siyo mrefu maana nakuona umekolea.Nimekuwa kwa muda nikijihusisha na uchimbaji wa germstone Arusha na Dar, pia hununua kwa watu na kupeleka sokoni. Lakini hapa juzi nimekutana na Mkongo aliyeniletea amethyst kidogo tukafanya biashara.
Sasa ananambia kule kuna mawe meupe yanayoangaza vizuri ndani yana picha za samaki, mtumbwi, askari na nyota. Naomba ufafanuzi wenu. Ni nini hicho? Nimejaribu ku google spati. Kama ni kweli, soko na bei zimekaaje?
Nimekuwa kwa muda nikijihusisha na uchimbaji wa germstone na kuyauza Arusha na Dar, pia hununua kwa watu na kupeleka sokoni. Lakini hapa juzi nimekutana na Mkongo aliyeniletea amethyst kidogo tukafanya biashara.
Sasa ananambia kule kuna mawe meupe yanayoangaza vizuri ndani yana picha za samaki, mtumbwi, askari na nyota. Naomba ufafanuzi wenu. Ni nini hicho? Nimejaribu ku google spati. Kama ni kweli, soko na bei zimekaaje?
Ni gemstone na siyo germstone. Huyo Mkongo atakuingiza chaka. Hayo mawe hayapo. sana sana anazungumzia rock crystal.Nimekuwa kwa muda nikijihusisha na uchimbaji wa germstone na kuyauza Arusha na Dar,
Mm nimemaliza chuo siku si nyingi naona vijana wenzangu ambao hawakueenda chuo hapa mtaani wanafanya biashara ya madini na wamepataela nyingi sana kwa haraka sana,mimi nataka kufanya hii biashara lakin sijui madini yananuliwa wap na yanaunzwaje coz nasikia tu wakisema mara wamenda kwa mkongo mara wameuza kwa mzungu,kama kuna mtu anafahamu hii biashara naomba shule hili na mm nijitoe katika wimbi la kutafuta kazi nakuanza kujiajir
At your own risk, ingia humo kwa uangalifu mkuu!
Btw, mtaji wako unasoma dollar ngapi?
1 mil tshs starting point.....kuna jamaa anayo blue sofaya,red ganite,na green! anataka nimpe hela aniachie mzigo but sijui A wala B za haya madude!! nipe details mkuu Excel
Wewe uko wapi? Usinunue jiwe usilolijua, utathaminisha vipi sasa mkuu? Unatakiwa ujue aina ya jiwe, ujue kukagua ubora ndiyo uweze kupata idea ya bei, otherwise utaumia. 1M inatosha kama unataka kuanza kudeal na cheap stones.
Nitajuaje aina ya jiwe? Nitawezaje kuthaminisha aine ya jiwe na kujua bei yake mkuu? Msaada pliz!
1 mil tshs starting point.....kuna jamaa anayo blue sofaya,red ganite,na green! anataka nimpe hela aniachie mzigo but sijui A wala B za haya madude!! nipe details mkuu Excel
wacha kabisa kushika hayo mawe kama huyajui.utauziwa vyupa vya soda au changarawe .ukifika sokoni unaweza ukazimia.me ilinichukua zaidi ya miez3 kuisoma tu.lazima uwe na vifaa pia kama faiber na scala kwa vipimo vya awali.unaweza ni pm ukiitaji
Hongera kwa kuwa na moyo wa kusaidiana mkuu hata kwa mawazo[/QUOTE
hii biashara ni nzuri kam utakua na subira nayo.lazima uipe mda kuisoma na hapo pesa ztalika sana .lakin ukishaijua utaenjoy sana.