The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Nimekuwa kwa muda nikijihusisha na uchimbaji wa germstone na kuyauza Arusha na Dar, pia hununua kwa watu na kupeleka sokoni. Lakini hapa juzi nimekutana na Mkongo aliyeniletea amethyst kidogo tukafanya biashara.
Sasa ananambia kule kuna mawe meupe yanayoangaza vizuri ndani yana picha za samaki, mtumbwi, askari na nyota. Naomba ufafanuzi wenu. Ni nini hicho? Nimejaribu ku google spati. Kama ni kweli soko na bei zimekaaje?