Msaada: Ujuzi juu ya mawe haya ya vito(germstone)

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Nimekuwa kwa muda nikijihusisha na uchimbaji wa germstone na kuyauza Arusha na Dar, pia hununua kwa watu na kupeleka sokoni. Lakini hapa juzi nimekutana na Mkongo aliyeniletea amethyst kidogo tukafanya biashara.

Sasa ananambia kule kuna mawe meupe yanayoangaza vizuri ndani yana picha za samaki, mtumbwi, askari na nyota. Naomba ufafanuzi wenu. Ni nini hicho? Nimejaribu ku google spati. Kama ni kweli soko na bei zimekaaje?
 
Nimekuwa kwa muda nikijihusisha na uchimbaji wa germstone Arusha na Dar, pia hununua kwa watu na kupeleka sokoni. Lakini hapa juzi nimekutana na Mkongo aliyeniletea amethyst kidogo tukafanya biashara.

Sasa ananambia kule kuna mawe meupe yanayoangaza vizuri ndani yana picha za samaki, mtumbwi, askari na nyota. Naomba ufafanuzi wenu. Ni nini hicho? Nimejaribu ku google spati. Kama ni kweli, soko na bei zimekaaje?
Pamoja na maelezo yako yote lakini uzoefu kuhusu mawe huna. Vito aina zote huchimbwa kwa ajili ya kutengenezwa au kuchongwa katika maumbile mbalimbali, huyo anayekwambia vinachimbwa vikiwa vimetengenezwa na wewe unaamini au unaomba kufahamishwa kama vipo. HAKUNA kitu kama hicho zaidi ya hapo utalizwa tu na muda siyo mrefu maana nakuona umekolea.
 
Nimekuwa kwa muda nikijihusisha na uchimbaji wa germstone na kuyauza Arusha na Dar, pia hununua kwa watu na kupeleka sokoni. Lakini hapa juzi nimekutana na Mkongo aliyeniletea amethyst kidogo tukafanya biashara.

Sasa ananambia kule kuna mawe meupe yanayoangaza vizuri ndani yana picha za samaki, mtumbwi, askari na nyota. Naomba ufafanuzi wenu. Ni nini hicho? Nimejaribu ku google spati. Kama ni kweli, soko na bei zimekaaje?

Napata mashaka na uzoefu wako wa vito!
 
mkuu utalizwa huwezi kuta gemstone kama hyo...nature of formation hairuhusu hcho ktu labda uniambie kuna inclusions mostly fluid patches kwenye hizo gems znafanana na hao askari Ila bdo ni ngumu kutokea kitu kama hcho,kama jiwe ni jeupe jaribu kugoogle moonstone labda...
 
kwa mzoefu jamani naombeni kujua makadirio ya bei za vito vifuatavyo
Yellow saphire
Blue saphire
Green tourmelene
na Tanzanite
Kuna jamaa anayo sema hajui hata bei zake zimekaa vipi hvyo anashndwa hata kuuza
NOTE: Ni msaada tu nahitaji kama vipi niPM au ukiweka hapa kwa faida ya wote si mbaya pia. Natanguliza shukrani
 
Mm nimemaliza chuo siku si nyingi naona vijana wenzangu ambao hawakueenda chuo hapa mtaani wanafanya biashara ya madini na wamepataela nyingi sana kwa haraka sana,mimi nataka kufanya hii biashara lakin sijui madini yananuliwa wap na yanaunzwaje coz nasikia tu wakisema mara wamenda kwa mkongo mara wameuza kwa mzungu,kama kuna mtu anafahamu hii biashara naomba shule hili na mm nijitoe katika wimbi la kutafuta kazi nakuanza kujiajir
 
At your own risk, ingia humo kwa uangalifu mkuu!

Btw, mtaji wako unasoma dollar ngapi?
 
1 mil tshs starting point.....kuna jamaa anayo blue sofaya,red ganite,na green! anataka nimpe hela aniachie mzigo but sijui A wala B za haya madude!! nipe details mkuu Excel
 
Last edited by a moderator:
Pesa siyo shida mzee tatizo detail ndio tatizo,pesa ya mtaji inapatikana tatizo sina mtu mjuz wa hii mambo nielewe inafanyikaje fanyikaje coz ninaowajua ni wasaani sana nawaogopa sana !
 
1 mil tshs starting point.....kuna jamaa anayo blue sofaya,red ganite,na green! anataka nimpe hela aniachie mzigo but sijui A wala B za haya madude!! nipe details mkuu Excel

Wewe uko wapi? Usinunue jiwe usilolijua, utathaminisha vipi sasa mkuu? Unatakiwa ujue aina ya jiwe, ujue kukagua ubora ndiyo uweze kupata idea ya bei, otherwise utaumia. 1M inatosha kama unataka kuanza kudeal na cheap stones.
 
Nitajuaje aina ya jiwe? Nitawezaje kuthaminisha aine ya jiwe na kujua bei yake mkuu? Msaada pliz!
 
1 mil tshs starting point.....kuna jamaa anayo blue sofaya,red ganite,na green! anataka nimpe hela aniachie mzigo but sijui A wala B za haya madude!! nipe details mkuu Excel

wacha kabisa kushika hayo mawe kama huyajui.utauziwa vyupa vya soda au changarawe .ukifika sokoni unaweza ukazimia.me ilinichukua zaidi ya miez3 kuisoma tu.lazima uwe na vifaa pia kama faiber na scala kwa vipimo vya awali.unaweza ni pm ukiitaji
 
Hongera kwa kuwa na moyo wa kusaidiana mkuu hata kwa mawazo
 
Hongera kwa kuwa na moyo wa kusaidiana mkuu hata kwa mawazo[/QUOTE

hii biashara ni nzuri kam utakua na subira nayo.lazima uipe mda kuisoma na hapo pesa ztalika sana .lakin ukishaijua utaenjoy sana.
 
Back
Top Bottom