By default, mke akishazaa watoto huwa hanogi tena, anahamishia mapenzi kwa mtoto/watoto..
Majukumu yanaongeza stress mpaka unamuona mkeo hananogi kwa lolote...kodi,ada,matibabu, bili za maji, umeme....hivi vyote vinafanya mke asiwe mtamu hata..
Mume unakuwa ni ziada tu,....hupewi tena attention kubwa, hupetiwipetiwi, ikifika muda wa teno hakuna maandalizi, huo muda mke hana..
Mke anakuambia, baba nanihii nikishalala usiniamshe, na huko kitandani anakupanulia tu mapaja....twa twaa twaaa...paa paa paaa....bao...haya tulale..
Ukute tena mke mwenyewe ana gubu na makelele...mwanaume hata hilo bao moja unalipata kwa jasho kwa huyo mkeo..
Ikifikia hali hii, mwanaume akipata mchepuko,anasikia raha ya tendo kama vile yupo wapi sijui..
Si kwamba wanaume wanapenda kuchepuka kiasi hicho, tanuri linolofuka moshi huko ndani ya ndoa, ndiyo linasababisha mtu atafute kipoozeo
Mtoa post nimemuelewa sana.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]