MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Juhudi za makusudi zifanyike kuusambaza huu uzi kwa michepuko yote. Mchepuko wa RomboMoshi umweka standards za hali ya juu ambazo zinapaswa kuigwa na michepuko mingine. Kwangu mimi huo ni zaidi ya mchepuko ni MCHATUKO